g.n.n
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 407
- 49
tatizo na pc yangu ni kwamba inafanya minimization automatically lets say nikiwa .nacheza gemu lolote lile after some seconds linajiminize kwenye taskbar na ukirestore again it will repeat the same action tatizo hapo sijui ni wapi. Sambamba na hilo kwenye hii pc baadhi ya website tabs lets say sehemu ya kusearch mfano nimeiingia gsmarena and I need to search a certain phone, ile sehemu ya kusearch inagoma kuwa clicked. Thats what am facing right now, I'll be proud of you for your help. Thanks.