ZENITH
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 905
- 593
Wakuu,msaada unahitajika wa hiyo kitu hapo juu.Mimi ni Land surveyor,naihitaji hii AUTOCAD LAND DESKTOP DEVELOPMENT kwa ajili ya kazi zangu katika masuala cadastral surveys.Kabla sijaingia serikalini nilikuwa natumia AUTOCAD CIVIL 3D kwenye masuala ya engineering survey kwenye miradi mbali mbali ya barabara.Msaada wenu please,au maelekezo namna ya kui-crack.Najua kuna watu watasema nisipende vya dezo lakini hizi softwares zinauzwa bei ghali mno mpaka 4 millions huko.