Mr FCB
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 227
- 119
Wadauu kama mada inavyosema hivi kozi ya electrical& electronics eng. Pale arusha tech.wanafundisha fresh au miyeyusho tu na mazingira ya chuo yanaridhisha? Kwa wale wenye uzoefu naombeni ushauri wenu maana wamenichagua direct niende hapo ,wadau, je chuo hiko kinafaa kwa kozi hiyo hapo juu na ufundishwaji wake unaridhisha asanteni sana.