Auto Diagnosis...........

Auto Diagnosis...........

humbleguy

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Posts
226
Reaction score
100
Wana JF napenda kuwafahamisha kuwa nina mashine ya kisasa ya kufanya diagnosis kwenye magari. Ni mashine bora na ya kisasa kabisa. Inapima all european cars na japanese cars as well. Karibuni sana bei nafuu kabisa.

Nipo JR Autoparts kinondoni,nyuma ya tx market...karibu na kanisa katoliki analosali mh Pinda. Nitatoa punguzo maalum kwa wateja wangu wa dukani.

Simu zangu ni 0712183826[whatsapp] na 0686560365

Karibuni sana
 
Back
Top Bottom