Australian spies working in Africa!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Africa tumeingiliwa zaidi ya tunavyojua. Sijui kama vitengo vya ujasusi katika nchi za Africa vimeistukia hii kabla ya kuandikwa kwenye vyombo vya habari. I am sure this is just the tip of the iceberg!

Australian 'spies' working in Africa

2012-03-13 15:03

Cape Town - A secret squadron of Australian SAS soldiers has been operating at large in Africa, performing work normally done by spies, in an unannounced and possibly dangerous expansion of Australia's foreign military engagement, The Age reported on Tuesday.

According to the report, the deployment of the SAS's 4 Squadron - the existence of which has never been publicly confirmed - has put the special forces unit at the outer reaches of Australian and international law.

"The Age has confirmed that troopers from the squadron have mounted dozens of secret operations over the past year in African nations including Zimbabwe, Nigeria and Kenya," it said.

"They have been out of uniform and not accompanied by Australian Secret Intelligence Service officers with whom undercover SAS forces are conventionally deployed.

It is believed the missions have involved gathering intelligence on terrorism and scoping rescue strategies for Australian civilians trapped by kidnapping or civil war."

The report said that the operations have raised serious concerns within the Australian military and intelligence community because they involve countries where Australia is not at war.

There are also concerns within the SAS that the troopers do not have adequate legal protection or contingency plans if they are captured. ''They have all the espionage skills but without [ASIS's] legal cover,'' a government source is quoted as saying.

News24
 
It is believed the missions have involved gathering intelligence on terrorism and scoping rescue strategies for Australian civilians trapped by kidnapping or civil war."

The report said that the operations have raised serious concerns within the Australian military and intelligence community because they involve countries where Australia is not at war.

Kama ni kweli hiyo issue imeraise serious "concerns within miltary and intelligence agencies", then ni wazi hiyo issue ni ya siri kati ya maybe group la kisiasa ambalo lina malengo yake tofauti kabisa, ama baadhi ya wanajeshi na wana inteligensia, ama combination of both.

Yani kuna mtandao wenye malengo yake.
 
Hiyo lugha mara nyingi inatumika kupooza skandali lakini ukweli ni kwamba hivyo vikundi vyote vipo katika kulinda na kuendeleza maslahi ya nchi. "Siri" hiyo iliyovuja ni sawa na chembe moja ya mchanga wa bahari!
 
covert-ops..., am not suprised! Spies are everywhere everyday,, accomplishing their assignments.
 
Australia = Madini hata bila ugaidi majasusi yapo yatakuwepo.Kwani yule binti wa Wikileaks ayeanika siri za suti na matumizi ya chumba cha siri za raiis wetu JK kwa USA ni raia wa Australia lakini.................. Hivi hakuna aliye connect the dot kuwa yule binti alikuwa ni zaidi ya meneja wa hoteli ya kempinski..........
 
Naamini kabisa hizo nchi zilizo tajwa sio zote.

Nchi kama Ghana, Tanzania na Congo DRC lazima ziwe na jasusi wengi toka Australia
sababu zina madini, na wataalam wengi wa madini wana uraia wa Australia
pia wataalam wengi wa nchi hozo walisomea/walifanya kazi katika mines za Australia.

Kama wanatafuta info za kuimarisha usalama wa raia wao nje na ndani ya Australia
Au ku-protect economic interest zao kwa kudhibiti competition toka Africa
basi na hizo nchi zitakua zimejaa majasusi.
 
Australia = Madini hata bila ugaidi majasusi yapo yatakuwepo.Kwani yule binti wa Wikileaks ayeanika siri za suti na matumizi ya chumba cha siri za raiis wetu JK kwa USA ni raia wa Australia lakini.................. Hivi hakuna aliye connect the dot kuwa yule binti alikuwa ni zaidi ya meneja wa hoteli ya kempinski..........
Utawazuia vipi majasusi na huku mkulu wa nchi na yeye ni kiguu na njia every now and then kwenda kuwaomba hao "wawekezaji" waje "kuwekeza"?

Kuna mechanism gani itakayotumika kumtambua jasusi atakayekuja kama mmojawapo wa waajiriwa wa hao wawekezaji?

Hao watu majasusi kwa taarifa yako wako very close na hao wakulu, hawaji hovyo hovyo, wako very close na targets zao, kuwatambua sasa ndo shida.

Kwenye matukio yanayowahusisha wakuu ana watawala, wao uhudhuria tu kama watu halali na wala hawaingii kwa ku sneak, ila wana vifaa vya hali ya juu vya kijasusi.
 
sasa sijui sisi TISS ipi tutaipa majukumu
1. Ya kizamani ya nyerere?
2. Ya kikwete?
3. Ya Rostam na Lowassa?
yaani taifa liko uchi!!!!!!!!!!
 
Hao watu majasusi kwa taarifa yako wako very close na hao wakulu, hawaji hovyo hovyo, wako very close na targets zao, kuwatambua sasa ndo shida.

Kwenye matukio yanayowahusisha wakuu ana watawala, wao uhudhuria tu kama watu halali na wala hawaingii kwa ku sneak, ila wana vifaa vya hali ya juu vya kijasusi.

Mkuu naona kuna ambiguty tayari kwenye maelezo yako. tayari kuna vitu ambavyo umeshataja (wako very close na wakuu- iashiria icho). Sasa kuwatambua ndio capactty uwezo utendaji na uhuru wa taasisi kama TISS inapopimwa hapo .

May be U mean TISS wakishajua Jamaa fulani ni rafiki yake na mkubwa ( rais Waziri Mkuu Mbunge . Wziri) basi hawataki kumfuatilia independently....

Nilisoma article moja Kule Uk kuna mwanfunzi wa Russia (Binti )alienda kusoma kisha akaowa na jamaa wa UK . Akapata Uraia wa UK. Katika kusoma yeye raseacrh zake zilikuwa Ofisini za bunge na mambo ya Policy. So akaomba na akabubaliwa alkuwa msaidia wa wabunge na watunga sera kadhaa wa UK. Baaada ya muda akamtaiki mshikaji wake.. Lakini bado alikuwa raia wa UK.

Kutumia Passport ya UK akaeda USA.......

Anyway msome story zake hapa
wikipedia na telegrapg na hapa Gurdian kuna story in full na video clip alivyokuwa kazini . Majasusi kama hao tunao bongo wengi tu.

Sehemu ya article ya gurdian inankuuu hivi kuhuus huyo binti
........"You were sent to USA for long-term service trip. Your education, bank accounts, car, house etc - all these serve one goal: fulfill your main mission, ie to search and develop ties in policymaking circles in US and send intels to C [for center, meaning Moscow]."

Sasa Utaona kuna majasusi ambao ujasusi wao bila taisisi zenye watu makini watakaa kukamata kuishia kwenye kulinda usalama wa wanasiasa na usalama wa siasa badala na nchi. Hapa tanzania Kuna ujasusi wa kuifluence policy za madini . Sina ushaihidi akini lipo. Ndio maana mliwataadharisha watu kama kina ziito. Ile misaada aliypata jimboni kwake ni sehemu na kazi za kijasusi katika kuifluence policy.

Inawezekana sera zetu za madini zmetengenezwa Canada au australia laini zinasomwa na Masanja . Si kuna maconsultant .

Na sio lazima kuwa na vifaa complicated . Ujasusi is all about information. Wacanada. Waustralia au nchi yeyote yenye interest kama china wakijua mapema ni kivipi sera fulani madini itawaathiri wanaweza kuloby kwa njia mbali mbali. huo ni ujasusi wala haitaji camera.
Lakini mtu anavofanya lobbying kwa mgongo wa msaada na utaalam na wametukuta hatuna akili za kufirki mara mbili mbili. tunakuwa uchi....

Kuna ujasusi wa kiuchumi na Sera kuna ujasusi wa kiteknolojia. Dunia ya sasa ndio inahitaji majasusi hao. Huyo anna chapman wa russioa hakua na isue zaidi ya ujasusi wa policy za uSA . Ili Russsia wazijue mapema na kuju zitawaathiri vipi

Sio kwweli kwamba ni kazi kuwatambua lakin hakuna mechanism hiyo. kama mtu hana thret wenye siasa hawajali . Mtu naweza usababisha hata shilingi kuyumba bia TISS kujali.

Kama wanatafuta info za kuimarisha usalama wa raia wao nje na ndani ya Australia
Au ku-protect economic interest zao kwa kudhibiti competition toka Africa
basi na hizo nchi zitakua zimejaa majasusi.

Hapo nilipowekea rangi ndio hasa kazi yao. . We re screwed sababu wanaoendesha meli yetu Tanzania hawajui wapi kuna mwamba..
 
Mkuu naona kuna ambiguty tayari kwenye maelezo yako. tayari kuna vitu ambavyo umeshataja (wako very close na wakuu- iashiria icho). Sasa kuwatambua ndio capactty uwezo utendaji na uhuru wa taasisi kama TISS inapopimwa hapo .

May be U mean TISS wakishajua Jamaa fulani ni rafiki yake na mkubwa ( rais Waziri Mkuu Mbunge . Wziri) basi hawataki kumfuatilia independently....

Nilisoma article moja Kule Uk kuna mwanfunzi wa Russia (Binti )alienda kusoma kisha akaowa na jamaa wa UK . Akapata Uraia wa UK. Katika kusoma yeye raseacrh zake zilikuwa Ofisini za bunge na mambo ya Policy. So akaomba na akabubaliwa alkuwa msaidia wa wabunge na watunga sera kadhaa wa UK. Baaada ya muda akamtaiki mshikaji wake.. Lakini bado alikuwa raia wa UK.

Kutumia Passport ya UK akaeda USA.......

Anyway msome story zake hapa
wikipedia na telegrapg na hapa Gurdian kuna story in full na video clip alivyokuwa kazini . Majasusi kama hao tunao bongo wengi tu.

Sehemu ya article ya gurdian inankuuu hivi kuhuus huyo binti

Sasa Utaona kuna majasusi ambao ujasusi wao bila taisisi zenye watu makini watakaa kukamata kuishia kwenye kulinda usalama wa wanasiasa na usalama wa siasa badala na nchi. Hapa tanzania Kuna ujasusi wa kuifluence policy za madini . Sina ushaihidi akini lipo. Ndio maana mliwataadharisha watu kama kina ziito. Ile misaada aliypata jimboni kwake ni sehemu na kazi za kijasusi katika kuifluence policy.

Inawezekana sera zetu za madini zmetengenezwa Canada au australia laini zinasomwa na Masanja . Si kuna maconsultant .

Na sio lazima kuwa na vifaa complicated . Ujasusi is all about information. Wacanada. Waustralia au nchi yeyote yenye interest kama china wakijua mapema ni kivipi sera fulani madini itawaathiri wanaweza kuloby kwa njia mbali mbali. huo ni ujasusi wala haitaji camera.
Lakini mtu anavofanya lobbying kwa mgongo wa msaada na utaalam na wametukuta hatuna akili za kufirki mara mbili mbili. tunakuwa uchi....

Kuna ujasusi wa kiuchumi na Sera kuna ujasusi wa kiteknolojia. Dunia ya sasa ndio inahitaji majasusi hao. Huyo anna chapman wa russioa hakua na isue zaidi ya ujasusi wa policy za uSA . Ili Russsia wazijue mapema na kuju zitawaathiri vipi

Sio kwweli kwamba ni kazi kuwatambua lakin hakuna mechanism hiyo. kama mtu hana thret wenye siasa hawajali . Mtu naweza usababisha hata shilingi kuyumba bia TISS kujali.

Hapo nilipowekea rangi ndio hasa kazi yao. . We re screwed sababu wanaoendesha meli yetu Tanzania hawajui wapi kuna mwamba..
Mkulu, ni shida kujuwa ni nani wa kumfuatilia kwenye mazingira ambayo watu wanafnya kazi zao kihalali.Kwa mfano mtu kama Putin ambaye ni jasusi, bado anaweza kufanya shughuli zake za kijasusi kwenye capacity yake, sasa watu wenye shughuli zao unaweza kusababisha matatizo kuwafuatilia, the only thing kama unahisi, basi unawatimuwa tu kama ambavyo waarabu wamekuwa wakifanya, especially kwenye wajumbe wa UN ie wa nyuklia, mataifa haya huwa yana pachika majasusi wao kwenye shughuli kama hizo.
Otherwise ukweli ndo huo, ni vigumu kuwatambuwa.
 
Actually nchi za Magharibi huu ndo mchezo wao, wanapeleka ma agent wao zinapotokea nafasi za kazi katika mashirika ya kimataifa, wewe tazama kama hii ya UN atomic energy agency wamejaa majasusi wa nchi za magharibi.

Kwa bara la afrika sasa ni Rwanda, ipenyeza vijana wengi saana kwenye mashirika ya umoja wa mataifa, na benki ya dunia, wanaingia kwa mtindo wa kujitolea. Na hao wote nyumbani wako recruited na Rwanda foreign Intelligence agency. Nia au lengo la wanayarwanda, ni kutaka kuwa na watu ambao wataisaidia kujua in advance, hayo mashirika yataka kufanya nini katika miradi ya maendeleo.
Hili utaona waswidi wametumia saana mfumo huo, na wahindi na wachina wameutumia saana kwa kutumia watafiti wao wanaofanya kazi mmarekani na kutaka kujua utafiti uelekea wapi?.
 
Inatupasa kujua ujasusi sio lazima uzame kwenye mambo ya ugaidi au mikutano ya Chadema. Vita ya dunia ya leo ni uchumi.. Hapa nyumbani raia wa nchi za nje wamejaa kibao kupitia NGO, ubalozi, na mashirika ya kimataifa..wengi hamjui kazi zao.. na mwisho wanagundua uranium iko Tunduru nanyi watanzania mnapoteza muda kubishana kuhusu Chadema na CCM..

Nyuma ya migogoro ya kisiasa; watanzania kukosa uzalendo (Patriotism) na promotion ya rushwa ni hao majasusi..Poleni..
 
Umeongea kama mimi vile!! Inahitaji moyo sana kutaja natokea Tanzania pindi unapokutana na mtu wa nchi za magharibi haswa unapokuwa unajua hawa jamaa wanawatumia viongozi wetu kukuza uchumi wao na kutuibia kila kukicha.
 
Back
Top Bottom