not all human rights are godly, some are satanic, nadhan tunaitaji mjadala mzima kuhusu haki za binadamu, watu wengi wanaizungumzia haki za binadam kijuujuuu tu wanashindwa kuelewa ktk hizohizo haki za binadam, kuna nyingine ni za kishetani kwa wale wanaoamin dini nk, tulipokubali kuzxisujudia haki za binadam indirect pia tumekubali kumsujudia na shetani kwani inahalalisha baadhi ya mambo ambayo zamani yalikua yanaonekana ya kishetan!