Australian Government introduce 40% TAX to Mining Companies

Australian Government introduce 40% TAX to Mining Companies

Mkuu thanks kwa maoni yako, lakini maoni yangu hayakuwa kuponda wala kudegrade maoni ya mtu mwingine. Nilikuwa najaribu tu kuexpand namna ya kuufikiria mjadala huu. Lakini unatakiwa uelewe kitu kimoja kwamba mining business si lelemama na ni too risky, na kusema hivi simaanishi kwamba kinachoendelea hapo TZ ktk mining industry is fair whatsoever.

Mining industry as large as it may look ina players wachache sana. These players/ Investors wana provisional exploration map ya madini ya almost ya dunia nzima na wanaiona dunia kama kijiji. What does this mean? They will always go where it is favourable katika hiyo ramani ya dunia.

For your information hii kodi kwa hapa Australia bado haijajadiliwa na kukubalika na wadau. As of now Economists, tena wengine wa serikali, wanasema impact ya kodi hii itakuwa kubwa sana as such ajira na upanuzi wa shughuli za madini ziko hatarini in the next few or more years kama hii kitu itakuwa implemented by hiyo 2012.. Hili litakuwa pigo kubwa kwa two states, Western Australia na Queensland ambazo uchumi wake unategemea mining for more than 50%. Na mpaka sasa serikali za state hizi zimeanza kutofautiana mitizamo moja ikipinga nyingine ikikubaliana na ongezeko la hii kodi.

Economically inaonekana itakuwa cheap kwa BHP kuanzisha mgodi mwingine New Guinea kuliko kupanua say Olympic Dam mine in Australia. Au kwa Rio Tinto ni rahisi kuanzisha mgodi mpya wa shaba Chile wenye 2 x capacity kuliko kuendeleza uliopo hapa OZ.

All in all ni kwamba haya mambo yana leverage kati ya faida ya kampuni na nchi husika. Sisi mining industry yetu bado ni changa mno kiasi kwamba ili tufaidi madini yetu ni muhimu wazawa + serikali iteam up na haya makampuni ya kibepari kurun biashara ya uchimbaji na uuzaji madini. Lakini kwa mifumo ya makampuni hayop makubwa ya madini wakiachiwa peke yao ni vigumu mno kufaidika kwenye industry changa kama yetu. "Hata tukigoma miaka nane" as quoted from JK.

Sheria hii ya Oz hata ingewekwa leo TZ bado tusingepata kitu maybe in the coming 15yrs maana it is 40% based on profits. Jmaa hapo bongo bado wanakwambia hawajarudisha gharama za investment.

Kuna mambo tunaweza kurekebisha sasa hivi hata this week na hii haihitaji hata bunge kama tuko serious ni watu wetu kufanya biashara na migodi. Kuna haja gani kitu kinachotoka Marekani au Europe kiwe na middle man msouth Africa ili kije Tanzania? Kuna haja gani ya kampuni ya kurun catering, laundry, hata bar itoke Ufaransa?

Mkulu Nyambala sasa hivi ndio tunahita uchangiaji mjadala chanya,. Hizo points ulizoweka ni vitu vilivyowazi ambavyo haviitaji kuwa na PhD kuvijua. Unajua biashara yeyote bila nyie wenyewe kuifanya huwezi kuijua hata kidogo. Tutaishia kusema biashara hiyo ni risk. Hakuna biashara yeyote isiyo na risk. Kinachotakiwa ni kujua namna ya kumanage hiyo risk. Kwanini Wabotswana wameweza kuendesha kampuni za uchimbaji kama majority shareholder na haohao SouthAfricans ambao sisi wanatushinda. The bottom line ni Viongozi wabovu wasio na vision. Challenge kwako wewe uliyepo huko kwa wa-aussie njoo huku kwa bibi jua utusaidie kupush changes.
 
Mie ningeelewa kwa urahisi sana ningeona maendeleo katina mikoa au wilaya zenye majimbo, singekuwa na haja ya kusoma misamiati ay kiuchumi na kukaza uso, hawa wataalamu wanasoma that one partuclar thing ili waweze kudeliver the required good, we do not want to go to the same school they went, what we want is the DELIVARABLES TU.
sasa Mh, Zitto with all due respects, mie sioni, maendeleo please have a forum where citizens of those areas, will make us comfortable by talking on how they are happy and with the mining.

kama hawapo wa kutosha, fanyeni mfanyacho, kazi mliotumwa hamjaifanya.
We need results!! not explanations
 
Mashule yote ya huko yawe na walimu, yafaulishe, wazazi wasife wakijifungua, mahospitali yawe na madawa, wazee watunzwe, watu wakimbilie huko, hapo tutajua kuna watu walioenda shule kwa ajili ya kazi na sio kuandika
 
Mkulu Nyambala sasa hivi ndio tunahita uchangiaji mjadala chanya,. Hizo points ulizoweka ni vitu vilivyowazi ambavyo haviitaji kuwa na PhD kuvijua. Unajua biashara yeyote bila nyie wenyewe kuifanya huwezi kuijua hata kidogo. Tutaishia kusema biashara hiyo ni risk. Hakuna biashara yeyote isiyo na risk. Kinachotakiwa ni kujua namna ya kumanage hiyo risk. Kwanini Wabotswana wameweza kuendesha kampuni za uchimbaji kama majority shareholder na haohao SouthAfricans ambao sisi wanatushinda. The bottom line ni Viongozi wabovu wasio na vision. Challenge kwako wewe uliyepo huko kwa wa-aussie njoo huku kwa bibi jua utusaidie kupush changes.

Du mzee huko labda mnipe uenyekiti CCJ, Lol......... anyways turudi kwenye mjadala shares leo za mining companies karibu zote zimeshuka bei zote na tayari kuna makampuni yameshaanza kuonyesha nia ya kuondoa shughuli zao in Oz. have a look on this one:

Company scraps mining work over tax plans

Updated 1 hour 47 minutes ago
Cape Lambert says it will now shift its exploration activities to projects outside Australia. (ABC News)


Prime Minister Kevin Rudd says a West Australian resource exploration company is acting prematurely by cancelling its activities on the back of the Federal Government's proposed super profits tax.
Cape Lambert Resources says it will pull out of exploration in Australia due to uncertainty created by the Government's plan to impose a 40 per cent tax on abnormally high mining company profits.
Mr Rudd says it was inevitable that some companies threatened to pull out.
"I would have thought it would have been useful for any company making those sorts of announcements to check with the Australian Government first, work through the detail of how our proposal works through with the circumstances for their particular venture," he said.
Cape Lambert was planning to undertake drilling activities later this year but now says the work at its Cape Lambert South iron ore project will stop as a result of the uncertainty created by the tax.
The company says it will now shift its exploration activities to projects outside Australia.
Its chairman, Tony Sage, says the Commonwealth's proposed tax has created uncertainty for the company.
"We don't know and understand exactly how it's going to work," he said.
"While there's uncertainly, I think you'll see many exploration and mining companies cease projects until there is certainty.
"It is going to have a major knock-on effect. I mean, just from one rig not being up there is going to be quite big."
The Federal Government has proposed to impose the super profit tax on resource companies but will refund royalties paid to state governments and introduce an exploration rebate.
Mining companies will be hit with the tax on so-called super profits which are deemed well above normal.
Deputy Opposition Leader Julie Bishop says she is not surprised by Cape Lambert's decision.
She told Sky News Mr Rudd was demonising mining companies.
"I'm afraid it won't be the last company that will be cancelling projects," she said.
"This new mining tax is just a grab for more money because Kevin Rudd has blown the budget and he's now taxing the mining sector because it has been successful."
'Too much risk'

Investment adviser Tim Weir from Black Swan Equities says the proposed super profits tax has proved to be too much of a risk for Cape Lambert.
"If they have done some sort assessment of the impact on the economics of the project that this has, they probably [have] come to the conclusion that there's too much uncertainty for the risk they have to take in developing the project, keeping in mind these projects are very capital intensive," he said.
Mr Weir says it is likely other companies will follow the same path.
"Not only is it a very arduous tax but also the calculation to work out the implication of the tax is actually a very complex one," he said.
Meanwhile, the West Australian business lobby has voiced its strong opposition to the proposed super profits tax.
Federal Resources Minister Martin Ferguson flew to Perth today for a series of urgent meetings with industry about the proposed tax.
WA Chamber of Commerce and Industry chief executive James Pearson says he made the business community's strong opposition to the federal move clear.
"In the 48 hours since the Government made this announcement I have been in continuous discussions with businesses right across the state who have been uniform in their strong concern and strong opposition to the Government proposal," he said.
"I made my members' views clear to the Minister.
"I'm a strong believer that if a bad policy is announced it should be possible through good argument and sound policy discussion to have that position reversed."
 
Back
Top Bottom