Australia kupeperusha bendera yake nusu mlingoti siku ya leo kuenzi kifo na mazishi ya Hayati Dkt. Magufuli

Iko namna mabeberu Wamejifunza kutoka Kwa Jemedari JPM nacho kimewafanya wampe heshima hiyo, maana sio kawaida aisee
ni utaratib wa jumuia ya madola kufanya hivyo kiongozi anapo anguka akiwa amdarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…