Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siamini Canada waweza fanya Hivi maana aliwatenda vibaya katika madini
Wakipeperusha bendera nusu mlingoti siyo mabeberu?Ni jambo jema!
Mmekaririshwa mkakariri vilivyo, eti mwana wa Mungu ni mmoja tu, labda mungu wenu, ila Mungu wangu mimi ni mtoto wake na tumefanana AtoZ.mwana wa Mungu una mfahamu? acha ku overrate mambo na kumkufuru Mungu.
Mwana wa Mungu ni mmoja tu. the rest ni wanadamu.
Pia aliwaungisha ndege kadhaa tena kwa Cash sio mkopo, alifanya Tanzania tuwe na heshima Kama nchi kamili yenye maamuzi yake binafsi na yenye misimamo ya mali zake, sio nchi-kibaraka maamuzi ya kupangiwa.Siamini Canada waweza fanya Hivi maana aliwatenda vibaya katika madini
mmekaririshwa? kwanza usiniweke kwenye kundi lako ambalo nafahamu ni "imaginary" .Mmekaririshwa mkakariri vilivyo, eti mwana wa Mungu ni mmoja tu, labda mungu wenu, ila Mungu wangu mimi ni mtoto wake na tumefanana AtoZ.
UhalisiaMara Mabeberu mara hivi mara vile hawa watu wanatusanifu tu soma fentifodi zao
Flags dip for virus-sceptic Tanzania head
Umeambiwa ni utaratibu wa nchi za jumuiya ya madola.Iko namna mabeberu Wamejifunza kutoka Kwa Jemedari JPM nacho kimewafanya wampe heshima hiyo, maana sio kawaida aisee
Embu nielimishe huyo mwana wa Mungu ambaye kwa mujibu wako ni mmoja tu na mimi nimfahamu, your own explanation simply contributed to the painting of that imaginary picture, so don't blame me.mmekaririshwa? kwanza usiniweke kwenye kundi lako ambalo nafahamu ni "imaginary" .
pili si lazima nifanane na ww.
u dont like my idea leave it.
Kwa nini isiwe Kwa Israel ama India au Bangladesh, au Lebanon?Umeambiwa ni utaratibu wa nchi za jumuiya ya madola.
Congo nako wananchi wapo barabarani kwa maandamano na mabango ya kumuenzi
i got your view , am christian. devoted.Embu nielimishe huyo mwana wa Mungu ambaye kwa mujibu wako ni mmoja tu na mimi nimfahamu, your own explanation simply contributed to the painting of that imaginary picture, so don't blame me.
Respect for that explanation, I used to be Christian by inheritance from my parents, currently, I have transformed to somebody else religiously. I believe in the air I breathe, energy from the Sun, Land from which I will return and water that cleanses me. I'm Son of God, even Jesus was like me, nothing special reason why he passed away too.i got your view , am christian. devoted.
i beleive jesus christ was only son of God.
But nisingependa kulazimisha christianity into you.
My late president JPM was devoted catholic member, he also belived the same.
i dont know about you. about you views or standings.
Mara Mabeberu mara hivi mara vile hawa watu wanatusanifu tu soma fentifodi zao
Flags dip for virus-sceptic Tanzania head
watakuambia hii imetokana na kazi nzuri ya mpendwa wetu JPM...haijapata kutokea tena duniani!.
ni utaratib wa jumuia ya madola kufanya hivyo kiongozi anapo anguka akiwa amdarakani.
Hongera Australia kwa kutuunga mkono kwenye maombolezo ya kufiwa na rais wetu wa awamu ya tano