Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,483
- 9,245
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watakuambia hii imetokana na kazi nzuri ya mpendwa wetu JPM...haijapata kutokea tena duniani!.Ni utaratibu wa kudumu kwa nchi wanachama wa jumuiya ya madola ikiwa mkuu wa nchi mojawapo husika atafariki dunia.
Lengo ni kuenzi na kujenga mshikamano.
Congo nako wananchi wapo barabarani kwa maandamano na mabango ya kumuenzi
Unaonea wivu maiti ha haaa...Mara Mabeberu mara hivi mara vile hawa watu wanatusanifu tu soma fentifodi zao
Flags dip for virus-sceptic Tanzania head
Sawa!Ni utaratibu wa kudumu kwa nchi wanachama wa jumuiya ya madola ikiwa mkuu wa nchi mojawapo husika atafariki dunia.
Lengo ni kuenzi na kujenga mshikamano.
Hili neno mabeberu linaenda kufa soonMara Mabeberu mara hivi mara vile hawa watu wanatusanifu tu soma fentifodi zao
Flags dip for virus-sceptic Tanzania head
Je umesoma vizuri na kuelewa post ya mkuu Zanzibar-ASP?Iko namna mabeberu Wamejifunza kutoka Kwa Jemedari JPM nacho kimewafanya wampe heshima hiyo, maana sio kawaida aisee
ni utaratib wa jumuia ya madola kufanya hivyo kiongozi anapo anguka akiwa amdarakani.Iko namna mabeberu Wamejifunza kutoka Kwa Jemedari JPM nacho kimewafanya wampe heshima hiyo, maana sio kawaida aisee
mwana wa Mungu una mfahamu? acha ku overrate mambo na kumkufuru Mungu.Hakika huyu alikua mwana wa mungu
Dunia imesimama