no safe system>/Kijana mmoja kutoka nchini Australia ame dakua network ya apple na kuchota data za GB 90
-baada ya kudakua akaenda whatsapp na kuanza kuelezea tukio ndipo hapo likastukiwa aliandika anaipenda Apple na angependa kufanya kazi hapo na pia file za hizo data ame lisave 'hacky hack hack'
-APPLE imesema data za watumiaji wake zipo salama salimi
Huyo ni kutoka australia hapa kwetu kijana wa miaka 16 sijui hana kiwango gani mwenye mambo ya nje ya shule
==========
Internet.org
Sikufanya kama Yeye ila 16 Years nilikuwa Goalkeeper Namba moja kwenye Timu yangu ya shule na Eneo ninalokaa.Naona mnaocoment mnajitoa eti ingekua wa huku angefanyaje ww ulivyokua na umri hou ulifanyaje..[emoji41][emoji41][emoji41]
Naona mnaocoment mnajitoa eti ingekua wa huku angefanyaje ww ulivyokua na umri hou ulifanyaje..[emoji41][emoji41][emoji41]
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Naona mnaocoment mnajitoa eti ingekua wa huku angefanyaje ww ulivyokua na umri hou ulifanyaje..[emoji41][emoji41][emoji41]
Asa anakuwaje online 24/7 afu anaamka saa nne mkuu? Au 24/7 maana yake ni nini?Hapa kwetu dogo wa miaka 16 ni admin wa magroup 13 ya Whatsapp ana account mbili Instagram moja anatumia ID yake nyingine ni feki anapost ujinga yupo FB hana kaza lkn anamiliki smartphone na ela bado hakos, 24/7 yupo online anaamka saa 4
It possible. Binafsi i know how. But nikwambie it is so risky ..ni hatari sana maana ni rahis kujua attack imetoka wapi. Kinachofuata ni noa nyeusi kupaki nje kwenunataka siku moja nizime servers za hawa wazee wa miwani myeusi
cia.gov
zipi izoooo mkaliiinataka siku moja nizime servers za hawa wazee wa miwani myeusi
cia.gov
Kutana na Mtoto wa kitanzania anayetengeneza Application za simu na kuwauzi Nokia. - NYUMBA YA HABARIKijana mmoja kutoka nchini Australia ame dakua network ya apple na kuchota data za GB 90
-baada ya kudakua akaenda whatsapp na kuanza kuelezea tukio ndipo hapo likastukiwa aliandika anaipenda Apple na angependa kufanya kazi hapo na pia file za hizo data ame lisave 'hacky hack hack'
-APPLE imesema data za watumiaji wake zipo salama salimi
Huyo ni kutoka australia hapa kwetu kijana wa miaka 16 sijui hana kiwango gani mwenye mambo ya nje ya shule
==========
Internet.org
==> Internet.org
hahahaa waulize mpaka sasa wanaweza kudukua server za apple "" ? ila huyo dogo ni hazina kwa nchi yakeNaona mnaocoment mnajitoa eti ingekua wa huku angefanyaje ww ulivyokua na umri hou ulifanyaje..[emoji41][emoji41][emoji41]