hahahaha umerudi kwa spidi 1000 kwenye kona pyeeeeee
warumi. south si domo aliyewapeleka may be matumizi ya kule. ofa ilitolewa na fastjet ambao walimgharamia diamond na familia yake ambayo ingemsindikiza kwa tuzo. wakubali wakatae hao shogaze wema wakiwa nae na wao wanapata umaarufu flani kwani follower wa wa wema wanawapa sapoti pia. muone kajala siku hizi hata akiweka post comment hata 20 hazifiki tena hapo ndugu wanacomment pia.
cheusi dawa aachane na wema afanye yake kwani hata sisi hatutaki awe na wema kwani ndoa imeshamshinda ila soon tutamsahau midomoni mwetu.