miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Poa dear. .......Hahahaaa
Teh teh teh........
Poa dear. .......Hahahaaa
Jamii forum sasa inataka kugeuzwa gazeti la udaku. Kwa uchafu ufanywao na huyu dada hakufaa hata kuletwa humu kwa taarifa kama hii.
Umalaya wake haumfanyi yeye kutokuwa celebrity.....umalaya ni tabia ya mtu hata ambaye si celebrity.
Heee. Nilikuwa siesta kidogo. Haya umemtetea sana. Ok ni celebrity, but to others.
Na ndio maana wengine wanapita......