Jamani hili ni soko huria huwezi mlazimisha mtu acharge bei unayo taka wewe...Nimewahi kutengenezewa logo kwa elfu 40..wakati kuna ambao wame tengenezewa Logo kwa lak (150000)...ambazo zote unakuta zina ubora ulio lingana.
Sasa Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.
Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe: Unatokwa na Nywele? Una Kipara? Jionee maajabu ya...'
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.