aunt ezekiel na shilole balaaaa!

Naona wazi hao hawana ndugu maana kwa kadhia hii lazima ndugu zao wawakatae kwa dhati.
 
Ni kwa nini serikali isirasmishe hii kazi ya kuuza K ili serikali ipate mapato yake!!
 
Sijaona kipya wala cha ajabu hapo...hiyo ni show ya music...mie nilidhani wanatembea road bila nguo
 
Jamani wanajituma kikazi zaidi!wanakula kwa jasho lao ati!!ubunifu wao ndio utawaweka mjini
 
ni kweli yuko juu ya kijana anakata mauno!!:nerd:

hiyo ni show tu watu mnakamuliwa vijisenti mwisho wa shoo mdada anaenda kulala peke yake anasubiria kurudi dar kwa mtu wake siku zinasonga mbele
 
Mbona kwa upande wa wanaume wametulia ukimtoa Hemedi mzee wa mapoda, wengine wako poa. Ila kwa dada zetu naona hawajui kutunza umaarufu wao.
 
Kuna watu huwa hawakomi.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…