Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,293
- 6,427
Mambo ya magazeti hayo.........
nawezakusema hilo ni sawa kwamba ni mambo ya magazeti but ikiangalia kiuhalisia ni kwamba aunt hajatulia hata kidogo, kwani haujaona jinc anavyofanya mambo ya kishenz amboyo yanafanya kuendelea kuwadhalilisha wanawake hususa ni wale ambao wameolewa kwan huwafanya waonekane sio waaminifu kwenye ndoa zao.
MasHauzi ya kufanya send off ya millioni 80 huku kapanga mwananyamala upande wa vyumba viwili na mwanaume mwenyewe aliemuoa ni mfanya massage kwenye saloon za Dubai,bongo movie bwana akili hawana kabisa wanapenda kuishi kwa maigizo
Hii ni Movie mpya inayotaka kutoka au ndio hali halisi? maana mimi hawa siwaelewagi ni muda gani wako serious.