Dr. Ng'ida D. Mollel
Senior Member
- Feb 19, 2013
- 191
- 38
Nakumbuka kihistoria nilishawahi kuwa mshabiki mkubwa wa NCCR Mageuzi (1995-1999) enzi za Uenyekiti wa Lyatonga. Nilipigana kufa na kupona kuhakikisha NCCR mageuzi inashinda kwa udi na uvumba katika wilaya ya Arumeru na hususan kata ya Mlangarini (Colonel Metili Vs Elisa).
Nilihama NCCR baada ya Lyatonga kuhamia TLP na wakati huo niliamini baadhi ya wanachama wakiwepo kina Mabere walitumwa kupana na Upinzani wa kweli kama tulivyoamini wakati huo.
Kwa hakika yaliyotokea bungeni wiki hii inatufanya tujiulize maswali mengi kuhusu Lyatonga. Hivi ni kweli hata dhamira haikumsuta pale wapinzani wote walipotoka nje akabaki yeye peke yake tu na CCM.
Nafikiri ni wakati mwafaka wa yeye kufahamu kama anatka aendelee katika political cycles, asijaribu tena kwa tiketi ya upinzani kwani atapoteza muda wake na pesa zake bure. Nafikiri ni haki yangu Kumuaga na kumtakia maisha mapya kwa sababu kisiasa kajimaliza mwenyewe.