Kwa wale wadau wa ukweli wanaoenda kusikiliza music toka kwenye systems za ukweli kuanzia receivers, speakers, home theatres, headphones nk naomba tukutane hapa tushauriane kuhusu vyombo hivi mbali mbali
Digital and wireless music systems imefanya mapinduzi makubwa sana katika kuufanya muziki utoke kwenye box dogo ila kwa perfomance kubwa sana... Mfano Devialet ya Ufaransa na product yao ya Phantom ni shida sana... A very small box inatoa muziki sawa na speakers kubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.