SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 552
- 1,306
Usafiri wa kishua
Usafiri wa kishuaView attachment 1857049
Unawapiga bei ndefu hadi watapungua kuja kukodiUkinunua tu mtaa mzima wanalikodi wafungie ndoa wakati weye unataka ukajimwambafy kwa michepuko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji1787][emoji1787] wakati huo wewe heshima imepanda ghaflaUkinunua tu mtaa mzima wanalikodi wafungie ndoa wakati weye unataka ukajimwambafy kwa michepuko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo mpunga unautaka na gari lina mahaba makali na weye!Ndipo utajisemea..."potelea mbali"...!Audi kitu gani mbele ya majirani watakaonisitiri nikianza kudaiwa na NMB!?Unawapiga bei ndefu hadi watapungua kuja kukodi
Hii kitu ujirani kuna wakati inatukalia kooniTatizo mpunga unautaka na gari lina mahaba makali na weye!Ndipo utajisemea..."potelea mbali"...!Audi kitu gani mbele ya majirani watakaonisitiri nikianza kudaiwa na NMB!?
Jina limebadilika hapo.Kutoka kuitwa baba Matoke unaitwa baba mwenye gari.😝😝😝😝😝[emoji23][emoji1787][emoji1787] wakati huo wewe heshima imepanda ghafla