Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 228
- 933
Duu kwa mujibu wako............ ila hamna kitu kama hicho, mechi ni moja tu atakayo kosa.Kwa mujibu wa kanuni za CAF ikiwa mchezaji atapata kadi 3 za njano kwenye mechi 3 mfululizo za mashindano au kadi nyekundu, adhabu yake itakuwa mara 2 hivyo atafungiwa mechi 2. Aucho alipata kadi 3 mfululizo. 2Vs Marumo na 1Vs Rivers United hivyo atakosa mechi zote 2 za fainali.
View attachment 2634791
Hio ni kweli baba Aucho hayupo kikosini, Jumapili si alikula kadi umesahau.Duu kwa mujibu wako............ ila hamna kitu kama hicho.
Hilo nalijua Aucho atakosekana Jumapili tu, ila mechi ya pili 100% atakuwa uwanjani na hamna sheria kama hiyo aliyoizungumza jamaa hapo.Hio ni kweli baba aucho hayupo kikosini jumapili si alikula kadi umesahau.
Hakuna kanuni ya hivyo, uongo unakusaidia nini?Kwa mujibu wa kanuni za CAF ikiwa mchezaji atapata kadi 3 za njano kwenye mechi 3 mfululizo za mashindano au kadi nyekundu, adhabu yake itakuwa mara 2 hivyo atafungiwa mechi 2. Aucho alipata kadi 3 mfululizo. 2Vs Marumo na 1Vs Rivers United hivyo atakosa mechi zote 2 za fainali.
View attachment 2634791
Mimi nikajua ataambatanisha na kanunu kumbe maneno matupuHakuna kanuni ya hivyo, uongo unakusaidia nini?
Hii mechi isha kua ngumuKumkosa mchezaji muhimu kama Aucho, ni pigo kwenye safu yetu ya kiungo. Ila nina imani na kocha.
Mechi ya kwanza ataikosa, ila ya pili atacheza. Jamaa hakutafsiri vizuri. Angekosa mechi ya pili pia iwapo hiyo ingekuwa kadi ya njano ya sita (yaani ya tatu kwa mara ya pili)Kumkosa mchezaji muhimu kama Aucho, ni pigo kwenye safu yetu ya kiungo. Ila nina imani na kocha.
Ni Kadi ya sita hivo atakosa zote mbili....Mechi ya kwanza ataikosa, ila ya pili atacheza. Jamaa hakutafsiri vizuri. Angekosa mechi ya pili pia iwapo hiyo ingekuwa kadi ya njano ya sita (yaani ya tatu kwa mara ya pili)
View attachment 2635166
Okay, kama ni kadi ya sita sawa atakosa zote mbili. Lakini mambo ya sheria huwa yanachanganya, sijajua hizo kadi nyingine alizipata kabla au baada ya makundi. Hapo naona pia kuna mahali pameandikwaNi Kadi ya sita hivo atakosa zote mbili....
Vs Monastir DarOkay, kama ni kadi ya sita sawa atakosa zote mbili. Lakini mambo ya sheria huwa yanachanganya, sijajua hizo kadi nyingine alizipata kabla au baada ya makundi. Hapo naona pia kuna mahali pameandikwa
3. At the end of the group matches, the cautions that do not lead to a suspension are cancelled.
Hakufukisha kadi sita,Ni Kadi ya sita hivo atakosa zote mbili....
Sawa Mwenye kiti mwandamizi la Makolokolo kwenye ubora wako.Awemo asiwemo kichapo kwa utopolo kiko palepale
Walikudhihaki lakini kumbe ni kweli. Baada ya kufanya ule ujinga na kupewa kadi alionekana hana furaha baada ya mechi.Kwa mujibu wa kanuni za CAF ikiwa mchezaji atapata kadi 3 za njano kwenye mechi 3 mfululizo za mashindano au kadi nyekundu, adhabu yake itakuwa mara 2 hivyo atafungiwa mechi 2.
Aucho alipata kadi 3 mfululizo. 2Vs Marumo na 1Vs Rivers United hivyo atakosa mechi zote 2 za fainali.
View attachment 2634791