Auawa baada ya kumchinja Mwanafunzi wake

Auawa baada ya kumchinja Mwanafunzi wake

Nyetk.....habari hii imechukuliwa kama ilivyo!! Mie kwa mtazamo wangu ndhani jamaa alikuwa kwenye ibada!!
 
Mleta mada ungetafiti basi japo kidogo ukaleta habari ilokamilika. Ni nini hasa chanzo cha mauaji, je dogo alikuwa mtukutu, sehemu ya kutekeleza imani, au mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi wake?
 
Bill......ngoma iko hivyohivyo!! hata kama ni Elimu kwa vitendo....au dogo mkorofi ndio umchinje!!!! au Imani ya ustaadhi inaagiza hivyo?
 
Hakika kwa Yesu pekeyake ndio kuna uzima wa milele
 
[h=3]Chapter (51) sūrat l-dhāriyāt (The Wind that Scatter)
And I did not create the jinn and mankind except to worship Me [/h]
QURAN 51:56 Nami sikuwaumba Majini na Watu ila kuniabudu mimi

Hawa washkaji hii mifugo wanayoifuga ambayo hiyo sura imewapa uhalali kwamba ni viumbe boora kabisa inawatuma vibaya
 
Labda dogo alilete mambo ya kikafiri wakati wa mafunzo.
Just gossip maana mleta uzi habari yake iko robo.
 
Chapter (51) sūrat l-dhāriyāt (The Wind that Scatter)
And I did not create the jinn and mankind except to worship Me


QURAN 51:56 Nami sikuwaumba Majini na Watu ila kuniabudu mimi

Hawa washkaji hii mifugo wanayoifuga ambayo hiyo sura imewapa uhalali kwamba ni viumbe boora kabisa inawatuma vibaya
Aisee kumbe wanayafuga.
 
Poleni wafiwa
Inaonekana alilitekeleza wazi wazi akiwa na msahafu karibu, sasa hii sijui inaashiria nini kisha kuondoka na msahafu
 
Jamaa itakuwa alikuwa out of mind, binadamu wa kawaida hawezi fanya kitu kama hicho.
 
too much of everything is harmful, ulokole ukizidi saaaaaaaana nayo huwa inakua kero coz kuna baba flan hadi kaamua kuwafungia ndani watoto wake,yeye ni kusali sunrise sunset ameacha hadi kazi vivo hivyo uislam ukizidi saaaaaaaaana inakua kero kama ya huyo shehe, ni hatari jamani.mambo ya imani ni kuendea taratibu
 
Hii ni stori ya upande mmoja mwandishi hajaeleza kwanini maalim amechukua hatua hiyo ya kumtoa uhai huyo mtoto kikatili namna hiyo!! Dogo alikua anashiriki ushoga??!
 
Back
Top Bottom