Aua naye kauawa

JamEniii kichwa cha habari " afa Msikitini " kuna uhusiano gani?? yaani lazima muwachookoze wenzenuuu? Very sad!
 
kweli mtoa mada ajielewei kabisa labda ananyonya kiroba
 
maandiko yanasema anaeua mwandamua nae atauawa na wanadamu.
Qur%27an_5:32
na
Genesis 9:6 ... "Whoever kills a human being will be killed by a human being
 
kkwahiyo ulitaka waandike vipi kama kutaja tu tayari ni kosa??
Stroke; just be fair!! huoni Anaprovoke hisia !! hatakuandika tumfunzee? hakuna tabu Mkuu waandike watakavyo!
chondechone... Tatizo hatujufunzi kwa makosa ya awali au makosa ya wenzetu.
relax rafiki.
 
Hii ni sharia nimeipenda sana mimi iendelee na sehemu zingine papo kwa hapo hukumu
 
aliyemuu mwenzake alidai kuu jamaa alimuua baba yake xa amekuja kulipiza kisasi ila nae wakamuua.ndo nami nilivyoambiwa
 
JamEniii kichwa cha habari " afa Msikitini " kuna uhusiano gani?? yaani lazima muwachookoze wenzenuuu? Very sad!
Hata mimi nilivyosoma heading nikajua muumini amechomwa kisu ndani ya msikiti, kumbe msikiti umetajwa ili kuvutia wasomaji maana humu JF ukitaka mada isomwe na wengi basi taja hiyo nyumba ya ibada na waumini wake.
 
Hii habari ilishaletwa hapa asubuhi. Inasema huyo aliyeemuuwa mwenzie ni chizi.
 
aliyemuu mwenzake alidai kuu jamaa alimuua baba yake xa amekuja kulipiza kisasi ila nae wakamuua.ndo nami nilivyoambiwa

Ahsante mkuu Taarifa nzuri watu wa mwanza najua mpaka sasa mtakuwa mmepata mengi.
 
Hata mimi nilivyosoma heading nikajua muumini amechomwa kisu ndani ya msikiti, kumbe msikiti umetajwa ili kuvutia wasomaji maana humu JF ukitaka mada isomwe na wengi basi taja hiyo nyumba ya ibada na waumini wake.
Ahsant Muadham Ndibalema Ubarikiwe "Wallah" nimo humu siku zote... Lakini sijaelewa UNDANI wao sikjajua MAKUSUDI yao sijajifundisha USHENZI wao.... lakini yote kheri we always learn by mistakes.... Time ipo na mema yapo!! maneno yako kweli Mkuu ukitaka ATTENTION hizi mbinu za MEDIA za kiMagharibi (BBC,CCN,FOXnews, nk) "Allah ikFinaa shari zao"
Baraka za moula juu yako.AMIN
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…