Au Unasubiria TAMKO!!

Barakoa huwezi kuvaa muda wote. Unatakiwa kuvaa ukiwa kwenye msongamano wa watu. Vaa muda wote ufe
 
Ukienda jukwaa la siasa ndo utashangaa watu mana wanalazimisha rais kusema Corona ipo, kwangu mimi hao ni wapumbavu mana mwenye akili timamu hawezi kusubiri kauli ya rais wakati hali halisi anaiona mwenyewe
 
Sasa kama ni wapumbavu na wapo na ni watanzania na tupo nao mtaani kwanini wasiambiwe ili wasilete mzaha hence kupoteza nguvu kazi ?

Nadhani pia ni ulimbukeni Taasisi kuona aibu na kuficha ugonjwa kwamba haupo / sijui kwa faida gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…