Au nna shida mahari

Au nna shida mahari

Una watoto mkuu? Au familia inayokutegemea?

Kweli watu tunatofautiana , mm toka nikiwa mdogo naumiza sana kichwa! Hadi muda huu
Niwekeze wapi na nimiliki vitu ambavyo uzeeni sitakuja pata tabu au kuwa ombaomba..yani nimiliki vitu ambavyo vitanilisha na kupata nitakacho kuanzia muda huu hadi uxeeni..

Pili ata nile vizuri vipi siridhiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes uko sahihi hatufanani huhuh

am better here
 
Low Maintanance. Umesahau tu kuweka umri wako Tangazoni.

And yeah kabla sijasahau, vipi chura yupo?

Nina mashamba porini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Personality hiyo. Tafuta namna ya kuwa productive kwa kutumia hiyo personality yako.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Badilika,usiwe hivo kwani utaishia kuolewa na kapuku,manake wanaume maskin na wasopenda gharama wanapenda type hizo,itazaa kizaz cha kimaskin kwani ukiolewa na maskin usitegemee mtatoboa ama jamaa akija zipata badae atakuacha akiona sio type yake.umaskin ni laana uepuke na ukemee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Next time uandike vizuri, hii platform inajulikana kwa watu kuleta hoja zilizonyooka, muandiko uliokaa vizuri nk. Sio vzr, bc, nardhka..hta. .WTF!!!
 
Wasalaamu wakuu hope mko poa....
Kwenye mada moja kwa moja ,mwenzenu cjui nna shida mahari iko ivi...
Nikiwa ata na efu kumi mkononi au hata mpesa najiona nimemaliza kila kitu naridhika kabisaaa na relax yan cna stress kabsa...co mtu wa kujichanganya kabsa ..ata nisipo kua na mia mfukoni ili mladi nimekula basii cna shida wala stress nnatabia ya kuridhika na nilichonacho huwa cumizi kichwa kabsa kwa vitu ambavyo cna kama pesa cm nzuri mitoko kila weekend kupendeza kusuka manywele ya bei Kali nguo viatu yaaan cna time navyo kabsaa kiac kwamba ata porini naweza ishi....sasa najiuliza hii hali ni kawaida au ndo roho ya umaskini jaman imenikaa hahah mwenyew apa cna ata mia mfukoni lkn najionea sawa tu wala cna habari pia nkiwa na hela wala ciionei ubahiri ukiniomba nakupa cna ile kujibaaana au uchungu nayo cna ....

am better here
Kwan unafanya kazi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Y so serious relax and take a chill pill....
Next time uandike vizuri, hii platform inajulikana kwa watu kuleta hoja zilizonyooka, muandiko uliokaa vizuri nk. Sio vzr, bc, nardhka..hta. .WTF!!!

am better here
 
Back
Top Bottom