Asante....Acha kuzunguka zunguka, ebu hit the point
"Ni mwanamke ambae hauna gharama"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha nme Cheka jamanWakuu, hili tangazo nimelipia mimi...
Binti kajieleza kiutu uzima, ni nyie mshindwe kuoa sasaa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado mkuu hahahVery nice, wote mngekuwa hivyo tungefanya kazi kwa raha na kutimiza majukumu yetu bila stress, vp umeolewa kwanza [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa basi nikaribishe pmMe mnyakyusa wa kyela mkuu hahaha
am better here
Kabsa mkuu wala cna makuu mie chochote kitakacho patikana me wala cna shidaWote naona mnajizungusha, mimi jamani ishafunguka nahitaji nikuoe LUCKME yaani uwe mke wangu naamini uwezi kuniuliza habari za kazi gani nafanya wala ninadegree ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hyo attitude achana nayo kuanzia leo uanze kuridhika ukiwa na 50k mfukoni...Karibu sanaa
am better here
Ila hyo attitude achana nayo kuanzia leo uanze kuridhika ukiwa na 50k mfukoni...
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaCwezi mkuu me ata nkiwa cna nsharidhika kabsa
am better here