Au nimerogwa?

Ndo ulijali huo kuna wenzio wakiona hata nguo za kike dukan wanasimamisha mnara
 
Macho yako yanakuponza yang'oe uiingie majaribuni
 
utakuwa umekubwa na jini linaitwa kijogoo basha. utapata tabu ukichelewa kupata tiba utahisi tigo ina tutumka
 
Una ngunga wewe, tafuta dada poa akupe tiba kwa bei rahisi kabisa.
 
Dhumuni ya thread yako imeonekana... umezeunguka koote ila point yako ni moja tu...

Unataka uvunje amri ya tisa...


Cc: mahondaw
 
Hilo sio tatizo mdogo wangu. Inaonyesha ni kiasi gani upo imara na rijali. Kuna wanaume wengi wanalilia wawe hata nusu ta ulivyo wewe lakini haiwezekani. Sasa nakupa ushauri japo unaweza kuonekana ni wa kijinga. Tafuta jimama lenye wowowo matata na lenye kazi yake ya kueleweka lililo singo. Kubali kuligharamia siku za mwanzoni. Ukishapewa mzigo simamia show ipasavyo. Ikibidi hata chumvini nenda. Baada ya hapo muelezee hali yako ya kipato. Nina imani kuwa atakuelewa na mtachangia gharama za mahusiano. Na utakuwa na uhakika wa kupata mashine kila utakapoihitaji. Hilo tatizo litaisha muda mfupi na utashangaa. Ila nakuomba nakuomba mdogo wangu. Usije ukaharibu nguvu zako kwa mapunyeto. Kumbuka kuwa utatakiwa kutembeza fimbo hata utakapokuwa na miaka sitini..
 
Ebwanaee!shukran mkuu kwa ushauri wako maridhawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…