Toka wiki mbili zilizopita hadi leo ninapoandika hapa...kila nikiona tu wowowo la mwanamke dushe linasimama!!hali hii imekuwa ikininyima amani sana hasa niwapo kwenye gari,mtaani ama kazini maana huwa likiamka ni vigumu sana kurudisha majeshi nyuma kwa haraka.Nimekuwa nikijitahidi kutofikiria kuhusu mawowowo lakini nashindwa maana nayaona,na hawa dada zetu walivyo na makusudi utadhani wametumwa vile!..Wakuu,naandika haya nikiwa nasononeka mno maana sasa hadi zile avatar za baadhi ya wadada humu,hasa ile ya mke wa mganga nguli jf,zimekuwa zikinifadhaisha sana sana hadi wiki jana niliamua tu nijipe likizo jf but haikuwa na msaada maana mtaani wapo kibao.SASA NAOMBENI USHAURI nifanyeje?