M Mr. Teacher JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 330 Reaction score 88 Jul 8, 2011 #1 Viongozi wetu kiafrika inaonesha ni jinsi gani hawana meno kabisaaaaa!!! yaani tunavamiwa na westeners halafu wanashindwa kuchukua concrete actions badala yake wanabaki wakijikomba tu kwa hao wanaoitwa "WAKUBWA"!!!
Viongozi wetu kiafrika inaonesha ni jinsi gani hawana meno kabisaaaaa!!! yaani tunavamiwa na westeners halafu wanashindwa kuchukua concrete actions badala yake wanabaki wakijikomba tu kwa hao wanaoitwa "WAKUBWA"!!!