Au kwa kua yeye ni mlemavu ndio maana hutaki kurudiana naye?Habari zenu wana Jf..!!
Niingie moja kwa moja kwenye Mada...niliwahi kukutana na msichana mrembo sana,basi nilifanya yanayotakiwa kufanywa mpaka nikawa na mahusiano nae..!!lakini huyu msichana kiganja chake cha mkono mmoja kilikuwa kimepinda,kwa maelezo yake anasema alipata ajali akiwa mdogo ndo akaumia....kwa muonekano wa harakaharaka huwezi kuona hiyo kasoro,mpka umtizame kwa ukaribu,na hicho kiganja anaweza akafanyia shughuli zote!!
Sasa shida ilikuja huyu binti hakuwahi kujiamini hata mara moja,mkipishana kauli kidogo,usipo pokea au kujib calls zake basi apo atalalamika,atalaumu kunung'unika na kauli yake kubwa ni "kwa sababu mimi ni mlemavu....."...kiukweli hii kauli ilikuwa inanikera mno na kunihuzunisha muda mwingine!...nilijitahidi sana kuvumilia(mimi ni mvumilivu sana[emoji2][emoji4]) lakini kama binadamu ikafika kipindi nikachoka,baada ya kumweleza bila mafanikio...ilivyo bahati nkapata safari ya kwenda mkoani na ikawa njia rahisi mimi kuachana nae politely basi tukatengana!!
Sasa jana,baada ya muda mrefu kupita akanitafuta,sijui katoa wapi namba yangu,yaani karudi mzima mzima,nimemueleza kwa sasa nina mahusiano mapya ila yeye hajali hilo yupo tayari kwa lolote,sipo tayari kuwa nae kwa sababu ya hiyo tabia yake,mana ata nikisema "hit and run" naona ataumia sana na sitaki kufanya huvyo kwa sababu ananipenda sana kupita maelezo!!nipo dilemma sijui hata nmfanyaje au nimueleze kitu gani asiumie[emoji17][emoji17]
Mnajifanyaga mnajua kutoa ushauri wa mapenzi nyie!Piga chini, ukiona mwanamke hashauriki piga chini.
Cheers,Mnajifanyaga mnajua kutoa ushauri wa mapenzi nyie!
Akili zenyewe hamuna!
Ukifika muda sahihi na mtu sahihi basi nitaoa,siwezi kukurupuka kwenye hili kwa sababu nmeona mengi sana kwa waliotangulia mema na mabaya ya ndoaHayo mahusiano yako mara huyu mara yule unataka wafike wangapi ndio uoe ? au unakaa tu na mwanamke akikutenda unaachana naye unachukua mwingine?Ukinipa jibu hapa ntajua nikusaidie vipi...
Just joke'sHapana,hayo sio mawazo yangu,sisi wote ni walemavu watarajiwa kwa hiyo siwezi kutumia icho kigezo kumkataa mtu
Hiyo tu,mwanamke mlalamishi sana,na wivu ulopitiliza....unajua hata vitu vya kawaida anakuja na hiyo excuse,haka akizingua huwezi kummind
Ha ha haAu kwa kua yeye ni mlemavu ndio maana hutaki kurudiana naye?
Sasa kwahicho unachokifanya unahatarisha maisha yako,ukichukulia kwa sasa maradhi ni mengi na pia kiimani unachokifanya ni dhambi,ila kwa ushauri ni kuwa omba mungu akujalie uweze kupata mke mwema,ila kwa kufanya hicho unachokifanya utaota mvi na usipate mke...Ukifika muda sahihi na mtu sahihi basi nitaoa,siwezi kukurupuka kwenye hili kwa sababu nmeona mengi sana kwa waliotangulia mema na mabaya ya ndoa
Usiombe hicho kitu,kama kuna usumbufu duniani basi nikupendwa sana na mwanamke,atakuganda atakuchunguza nje ndani...ingewezekana tungebadilishana kismart[emoji2]Hivi ninyi mna kismat hadi mnapata wanawake wa kuwaacha acha tu,
Mi nikiona dalili zote za kupendwa na mwanamke kupita kiasi, hakika nitatulia tuli.
Sawa nimekuelewa sana mkuuSasa kwahicho unachokifanya unahatarisha maisha yako,ukichukulia kwa sasa maradhi ni mengi na pia kiimani unachokifanya ni dhambi,ila kwa ushauri ni kuwa omba mungu akujalie uweze kupata mke mwema,ila kwa kufanya hicho unachokifanya utaota mvi na usipate mke...