Au jk kapona?

Status
Not open for further replies.
Vipi kale kagonjwa cha Dr Padre Slaa cha kuiba wake za watu si babu vile vle anakatibu.
HAFIF,hivi hizo ni akili zako au........mbona unaingilia maisha ya watu,wakati anaiba mumewe alikuwa wapi?JK kaiba wake za watu wangapi na kuwapa ukuu wa wilaya.AU humsemi kwa sababu dini moja?acha ujinga unadhalilisha elimu yako na dini yako!
 
Ndugu yangu hushangai Dr Padre mwenye PhD ya mambo ya sheria za Kikatoliki anajua fika Mwanamke lazima umuoe ndio ule tunda lake kinyume chake ni KUZINI. Sasa yeye anakiri kabisa ni Mzinifu. Vile vile anajua fika kilichofungwa na Mola mwanadamu hawezi kukifungua. Yeye amediriki kuchukua mke wa mtu na kumfanya kuwa kimada.

Aende tu kwa babu akapate kikombe cha kuondoa ugonjwa wa kuiba wake za watu
 
uelezwe vipi kuwa kwa babu haya madai unayotoa huko hakuna?
 
JK hajapona bado. Sasa hivi hata kiti cha kukalia anatembea nacho kwenye wizara alizotembelea! Bado magongo ya kutembelea tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom