Atukanwa bila kugundua!

BatteryLow

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
446
Reaction score
149
Wiki iliyopita m2 m1 alinisumbua sana kwa sms wakati simfahamu, kila nikipiga nikimuuliza maswali haelewi. akaendelea ku2ma wee ilipofika saa 4:30 akatuma msg " sorry nimekosea namba". Nikaisoma nikakaa kimya. Ilipofika saa 7:50 nafsi yangu ikanituma nisimwache bila kumrushia tusi, basi nikam2pia " nyama wee!!" Basi hebu pitia reply yake..." we ni vp we nyama ndo nn unajua unayem2 100 sms ni nani daudi hayupo cm ni yangu aliniomba kwahiyo izo nyama hazinihusu kwan we nan". Wacha nichekecheke!! duuh m2 unatukanwa nyama we lkn hujui kama ushatukanwa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…