Attractive Woman

Huo mda na kuaga na vikao vya siri


Hahahahaha,,,,usikute tuko kambi moja af tunachimbana biti, nimeghairi hayo mafunzo hupati tena huna bahati wewe mimisa njoo wewe nikufundishe umlinde best yangu manoah.
 
Last edited by a moderator:
atanifundisha manoah..kwa ss naweza tumia nyenzo asilia
Hahahahaha,,,,usikute tuko kambi moja af tunachimbana biti, nimeghairi hayo mafunzo hupati tena huna bahati wewe mimisa njoo wewe nikufundishe umlinde best yangu manoah.
 
Last edited by a moderator:
Ni Point ya msingi, mtu akikatwa ulimi anakua hawezi kuongeaa, hapo tunaongeza kutoboa na ngoma za masikio
Mabwe pande ya sasa ni kukata ulimi hasa kwa wale wanaochonga sana af tunawabinya NINIliuu yani Nanihii kwa plaizi
 
Last edited by a moderator:
Ni Point ya msingi, mtu akikatwa ulimi anakua hawezi kuongeaa, hapo tunaongeza kutoboa na ngoma za masikio

pouwa nachomoka BROO,kuna jukumu zito nimepewa hapa kibaruani nikimaliza nitarejea,nisigombane na mizee ya Sirikali ya Magamba kwaheri,,,,MAISHA MAZURI KWA KILA FISADI,MAGUMU KWA KILA MTZ.
 
Last edited by a moderator:
Nyinyi watu nyinyi km hamsomeki vile mnaagenda gani hapa? Manoah, Paloma, Mimisa na Polisi ben..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…