Attack za CCM Mtandao vs. CHADEMA Mtandao

Attack za CCM Mtandao vs. CHADEMA Mtandao

tunatumika kabsa,,alafu ni kote, ccm wanawatumia watu, chadema nao vilevile
tumefanywa madaraja ya watu kupandia harafu tunajinyima wenyewe hadi uwezo wa kuhoji tunabaki kushangilia hadi ujinga ili mradi aliyefanya ni wa chama changu..
 
tumefanywa madaraja ya watu kupandia harafu tunajinyima wenyewe hadi uwezo wa kuhoji tunabaki kushangilia hadi ujinga ili mradi aliyefanya ni wa chama changu..
Aisee..mungu akubariki ndugu. Watu wanatutumia sana.
 
Umeongea pumba.Chagua mziki kisha tuma salaam kwa watu 3.
 
Hizo hisia zako ni potofu. Watu wanapiga kelele kwa kuwa hawaridhiki na mwelekeo wa nchi. Wanataka katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ili kukomesha huu uhuni unaofanywa nchini na hawa wahuni na mafisadi wa MACCM wa kung’ang’ania madarakani kupitia mtutu wa bunduki na wizi wao kura. Tukiwa na uchaguzi huru na wa haki basi hakuna chama kitafanya uhuni kama huu wa dikteta uchwara kuendesha nchi kwa chuki kubwa dharau za hali ya juu kwenye sheria za nchi, katiba, Bunge, wananchi na taasisi za Serikali.

Na kwa taarifa yako wengi humu wanaoikoromea hii Serikali dhalimu ya dikteta uchwara hawalipwi.

inakre sana aisee. watu wapo kivyam vyama sana. nahisi kuna vikundi vinapewa pesa ili waje wapigie debe vyama vyao
 
Jf ushabiki umezidi uki ikosoa UKAWA bas wewe CCM , uki ikosoa CCM bas wewe UKAWA, tumekuwa sio great thinkers tumekuwa great Partisans. Inakera sana



mada nzuri sana mtoa mada. big up? tumekuwa siyo great thinker kabisa. najua hata mada hii utajibiwa kitimu timu na kishabiki shabiki. but asante kwa kuturemind

Tatizo ni kugeuza JF kama jukwaa mbadala wa vijiwe. Kwa mfano mchango kama wa huyu Beira Baby, ni wa kijiweni kabisa. Na sababu kubwa ni kujificha nyuma ya ID feki.

Lakini, Beira Baby ukumbuke wewe unayetumia ID yako feki kuandika au kujibu hovyo hivyo, mazoea hayo yatakugharimu kwenye maisha yako ya kila siku. ULIMI HUTELEZA na itokea hivyo, ujilaumu mwenyewe.

Umesema kwamba kama sio wasomi kwani kuwa kuwa humu hadi uwe msomi au mataputapu uliyokunywa yamekuchanganya au una kitu cha kanda ya ziwa pemben

 
Back
Top Bottom