ATTACK TACTICAL

Joined
Mar 30, 2020
Posts
66
Reaction score
104
teke la juu
up kick ni teke ambalo hutumika kwa kumpiga adui katika korodani au uso kama adui akiwa kainamia mbele.
 

Attachments

  • SGN_10_25_2026_1792949946870.png
    632.9 KB · Views: 6
Unashauriwa ukimbie kama ukiona umezidiwa.Usimng'ate adui atakuambukiza ebola.
 
Kwanini korodani
Kwa sababu kodani ni sehemu ambayo inahisia kali sana za maumivu, ambayo kama pigo likiwa zito zaidi adui anaweza akapoteza fahamu au akashindwa kukufuata au kupambana tena na wewe ,hapo utakua umepata nafasi ya kukimbia na kurudi nyumbani salama.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…