Napenda kujuzwa atom ni hai au ni mfu? (chembechembe ndogo zinazounda kitu)
Hatujasusa, ni kitambo sana, inaonekana wadau wamesahau kabisa, subiri waje a/level huenda mkapeana knowledge vizurimbona kama wameususa huu uzi[emoji15] [emoji15] [emoji15]