ATM zimepatwa na nin?

Mimi nimeweka hela kwenye ACC yangu ya NMB lakini hela siioni!!! kwenye account husika...
 
Alisikika Meneja wa Tawi la NMB akiongea maneno hayo hapo juu
Uki scan hela inatoka ila ukiweka kadi ndani inaandika huduma imekamilika je unataka huduma nyingine ? Hapo hajafanya kitu??? Heee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…