Hivi Athelico ni members wa JF??Nawakubali lkn alianz arena ndo patamu mtakapoenda ujeruman mfunge mkanda vzr maana hamta toka mkiwa hai
Nani kafungwa wajuuHivi Athelico ni members wa JF??
Duh... wajuu ni yupi kati ya atiletiko na bayan??Msn
Nani kafungwa wajuu
Bayern watashinda kwa shida sana 2-1.Unadhan bayern watalala wakiwa home
So,Atletico wataenda kulala away...¿!Unadhan bayern watalala wakiwa home