Lwakitwe
Senior Member
- Aug 14, 2013
- 101
- 15
baada ya wabunge kuendelea kupingana wao kwa wao wananchi walio wengi wamekimbia na kuacha kufuatilia mijadala inayoendelea kupitia luninga zao.
Asilimia kubwa ya watanzania wameacha kufuatilia bunge kupitia luninga je kwa hali hii tunaenda wapi watanzania wenzangu ?
Asilimia kubwa ya watanzania wameacha kufuatilia bunge kupitia luninga je kwa hali hii tunaenda wapi watanzania wenzangu ?