Ati Wachagga hawajui mapenzi?

Hahahah...mkuu kama wewe ni penda penda wa wake za watu, basi kuanzia leo anza kufukuzia wanawake walioolewa na Wachagga...nakuambia Yesu na Mariaaa utawakamata wote maana hawajazoea mambo ya Pwani

ha ha ha ha ha ha.............. bro ya kweli hayo............... kina massawe watakuua leo humu wakikuta hio mineno... ha ha h ha
 

Yaani sijasoma hata post #2 maana sitaki kuona unavyoparuliwa...
 
Benki zote za Bongo hapa kwa nini nihangaike kuweka hela zangu mbali kote huko?

Halafu nasikia ninyi Wasomali mambo yenu si haba?

pesa zako si unahifadhi M pesa......
Uswisw mbali kote huko kwa nini
 
mashambulizi yamehamia kwa wanaume wa kichaga sa hii.... na we umo nini?

Wanaume wa kichaga tuko vizuri... hatukamatiki kirahisi. Nalipa baada ya huduma... kama ni hela hadi siku nyingine tena ya huduma...
 
Wanaume wa kichaga tuko vizuri... hatukamatiki kirahisi. Nalipa baada ya huduma... kama ni hela hadi siku nyingine tena ya huduma...

vipi huduma inayotolewa na nyinyi inahamasisha kurudia siku ya pili,3,4.........
 
mmh jibu sijapata nitarudi tena mkuu . lakini mimi najua wachagga wanaowajibika sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…