utajibeba.......ulokote garasha.....uje utuseme wadada wa watu.....nyoooo.......
chagga babes wanakimbiza dunia.........bisha nikuletee facts..........
Wadada punguzeni uvivu kitandani...Mapenzi yamekuwa ya ushindani sana kama Simba na Yanga...Ukipoteza mechi mpinzani atakaa kileleni kuongoza Ligi.
Tabia za kulala tuu chanuuuu kama unasubiri Sakramenti ya Ubarikio sio issue,huu ni uvivu uliotukuka...Jitume kutetea uhalali wako wa kuwa Mpenzi wa huyo mtu...Mapenzi hayana kupiga ramli its how you make it live wewe mwenyewe,Manage ur bed,vingine ni Secondary tu,nawaambia kweli,..Mnaoamini Mapenzi hayalindwi na Sex nawapa pole,Mta-Supp mtihani kabla hamjaanza testi...Bed is everything.
Mimi nashangaa Imejipost Yenyewe kutoka Kishumundu
utajibeba.......ulokote garasha.....uje utuseme wadada wa watu.....nyoooo.......
chagga babes wanakimbiza dunia.........bisha nikuletee facts..........
dont deneralise things........
kama ulikutana na golikipa anaesubiria mpira umkute golini
usigeneralise the whole entire of female population.
nimekupenda bure jinsi ulivyomjibu wamezidi kutuandama
Khaaa! kumbe wewe ni mdada?
Weka picha...
Tabia za kulala tuu chanuuuu kama unasubiri Sakramenti ya Ubarikio sio issue,huu ni uvivu uliotukuka..
ndio kwanini umeshangaa??
Mhhh! wewe hali yako vipi? maana wengine viuno vigumu kama gia ya trekta
kaka mbona bado asubuhi sana unalalamikia uumbaji yamekukuta nini?Wadada punguzeni uvivu kitandani...Mapenzi yamekuwa ya ushindani sana kama Simba na Yanga...Ukipoteza mechi mpinzani atakaa kileleni kuongoza Ligi.
Tabia za kulala tuu chanuuuu kama unasubiri Sakramenti ya Ubarikio sio issue,huu ni uvivu uliotukuka...Jitume kutetea uhalali wako wa kuwa Mpenzi wa huyo mtu...Mapenzi hayana kupiga ramli its how you make it live wewe mwenyewe,Manage ur bed,vingine ni Secondary tu,nawaambia kweli,..Mnaoamini Mapenzi hayalindwi na Sex nawapa pole,Mta-Supp mtihani kabla hamjaanza testi...Bed is everything.
Mimi nashangaa Imejipost Yenyewe kutoka Kishumundu
kwel aisee watu8 aweke picha tuamini analolisema..dada preta tupiamo..
Huwa nakuona ona tu around ila sikuwahi kudhani kuwa wewe ni KE...
hali yangu ni nzuri kunako 6*6
watu bana eti viuno vigum kama trekta vikoje hivi
okey mimi ni kike mkuu
Khaaa! kumbe wewe ni mdada?
Hahaha huo uzuri kitandani nadhani mwenye kuleta ushahidi anapaswa awe shemeji yetu na wala sio wewe...
Viuno vigumu kama gia ya trekta ni vile vigumu ambavyo haviwezi kuzunguruka...
anaweza kuwa mriberali sio lazima awe dada