Athletics World Championships. Berlin

Jioni/Usiku wa leo Watz watatu watakuwa uwanjani kuwania medali katika mbio za mita 10,000 hawa ni kati ya Watz kumi wanaotuwakilisha huko Berlin. Mbio hizi zitaanza saa mbili na dakika hamsini(saa za Afrika ya Mashariki).

Watakao ingia kwenye track ni hawa
  • Fabiano Joseph Naasi
  • Dickson Mkami
  • Ezekiel Jafari
 
Tena?

Jamaa noma, this is a bolt of lightning.

Congratulations Usain Bolt! We are fortunate to be able to witness the greatest sprinter of all time. In my opinion, you're the 8th wonder of the World.
 
Congratulations Usain Bolt! We are fortunate to be able to witness the greatest sprinter of all time. In my opinion, you’re the 8th wonder of the World.
Unakumbuka kama ulishawahi kufungua bandiko kuhusu Bolt na marekodi yake? Kwanini usiende kuendeleza bandiko lile?
 
jamaa anasema if conditions are right anaweza ku clock 9.4
jana bolt alimshutdown tyson gay
 
Maandalizi ya mita 100 wanawake....

1331533798-athletics-aaf-world-athletics-championships-day-berlin-2009-olympiastadion.jpg


2593951057-athletics-aaf-world-athletics-championships-day-berlin-2009-olympiastadion.jpg


3219757663-athletics-aaf-world-athletics-championships-day-berlin-2009-olympiastadion.jpg



Shelly Ann Fraser anaweza kuibuka mshindi usiku huu
 
Mtz wa kwanza(Jafar) anazungukwa hapa... bado raundi tano mbio kwisha ..
 
Watz choka mbaya... Bekele wa Ethiopia ameweza kutetea taji lake pasipo usumbufu wowote!
 
aise wameshika nafasi za mwishoni kabisa

1. Ethiopia
2. eletria
3. Kenya

hawa ni jirani zetu, wenye hali kama zetu vipi?
 
Sijui walikuwa wavimbiwa? manake wanavyokimbia utadhani wapo kwenye jogging

ha ha..umenichekesha, hata hivyo mbele ya ethiopia kweli kazi tz kuwapita..
Kibs, hao waethiopia&eritrea hawawezi mbio fupi kama 100m za bolt? mana du mbio refu wapo gado!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom