Atheists tulionekana wa ajabu sana!

[/QUOTE]
Sijakwambia lazima awe nani wala nani ,hatua ya kwanza ni kufikirishwa na hayo hayo mambo ndipo tutaweza kujadili ni nani na si nani,kwanini iwe uhivi na si vile.
Huwezi ukasonga hatua ya kumtafuta ni nani,kwa nini iwe hivi na si vile wakati bado hujawa na uhakika wa kwamba kuna aliyeyafanya hayo hata kama yatakufikirisha hivyo.

Mathalani mimi pamoja na kunifikirisha still sijapata jibu la kama kuna mtengenezaji ama hayupo.

Kwangu ni ngumu kuanza kumtafuta mtengenezaji huyo kabla ya kupata jibu yupo au hayupo.

Maana hatuwezi kuwa tunafikia hitimisho la jambo kwa mafikirio tu.

Lakini iwapo wewe huwa unao huo uwezo basi tuwekee hapa hitimisho lako ña ushahidi wako and then tuanze kumsaka mhusika huyo.

Unaweza kufanya hivyo!?
 
Unaweza kufanya hivyo!?[/QUOTE]

Hebu nitajie mfano wa kitu kimoja tu kilichowahi kukufikirisha na si mbaya ukieleza sababu zinazofanya wewe kuwa hadi sasa usione uwezekano wa kuwepo mtengenezaji?
 
Hebu nitajie mfano wa kitu kimoja tu kilichowahi kukufikirisha na si mbaya ukieleza sababu zinazofanya wewe kuwa hadi sasa usione uwezekano wa kuwepo mtengenezaji?
[/QUOTE]
1.Naona napoteza muda wangu kujadili mambo na mtu ambae kazi yake ni kujiandikia tu ili aonekane nae kaandika.

1.Kwa hiyo wakati unaniuliza mambo haya hayanifikirishi chochote hukujua tunazungumzia mambo gani kiasi cha kunitaka muda huu nikutajie tena walau kimoja?

Ndiyo kusema hujitambui au?

2.Wapi ambapo nimekwambia kuwa sijaona uwezekano wa kuwepo mtengenezaji?

Unajua kusoma? Unajua maana ya mtu kusema kuwa pamoja na kunifikirisha lakini bado sijajua iwapo yupo au hayupo mtengenezaji huyo?

Wewe uliyefikirishwa na Ulimwengu huu na vilivyomo kwa namna vilivyo kisha ukafikia hitimisho kuwa lazima mtengenezaji yupo ndiyo taja sasa na uweke hapa sababu za hitimisho lako hilo.

Na usiishie maneno pekee,weka na ushahidi kuwa lazima vilitengenezwa.

Tukishaupima na kujua kuwa lazima yupo ndipo tunaingia hatua inayofuata ya kumjua ni nani.

Narudia tena,unaweza kufanya hivyo?
 
Narudia tena,unaweza kufanya hivyo?[/QUOTE]

Vitu vyenye kufikirisha viko vingi na mimi nimeomba unitajie kimojawapo tu ambacho kilichokufikirisha.

Ndio hujaona uwezekano huo na ndiyo maana unapinga hata madai yenye kudai hivyo,maana yake hayo mambo hayajakufanya ufikiri kuwa kutakuwa na mtengenezaji.
 
Elimu ipi unayomaanisha? Kama ni elimu ya mashuleni basi Mimi naweza kusema si kitu pekee kinachoweza kumkomboa mwanadamu kwenye sayari hii.

Unaweza ukapata elimu lakini usiwe na uelewa au "knowledge". Ama Kwa lugha nyingine educated fools

Pili kuna watu hawajapata structured basic education, they are self taught, mfano Nikola Tesla etc; na ndio wamekua wavumbuzi wa vitu vingi ambavyo vimepelekea mapinduzi ya kiteknolojia, kifikra,kisayansi na mwishoe kuleta maendeleo na mageuzi makubwa ulimwengu.

Tatu, kuna drop outs wengi Tu ambao walikuja kugundua baadae elimu wanayoipata haiwapeleki kwenye mafanikio zaidi ya kukinzana na files zao Mfano bill gates etc.

Mwisho; elimu tunayopata majority imechakuchuliwa Sana kiasi kwamba haiwezi kutusaidia kifikra mpaka kupelekea kufanya tafiti na gunduzi mpya mbalimbali ambazo zitaleta chachu au mapinduzi ya kimaendeleo kwny sector zote. They are few privileged elites receive proper education which is the hidden education which is transferred through generations to generations to few elected individual with a purpose of controlling us majority. Ndo maana hata maprofesa wetu wa engineering hawawezi kutengeneza mashine ya kukamua juice Tu, scholia mbaya other complex techs
 
Africa kihistoria walikuwa na miungu yao na style zao za kuabidu kabla ya ukoloni ukristo na uislam na dini nyingi zilizopo sasa zimeletwa na wakoloni
 
Mhuuu humu ndani kuna watu kabisa unaona hawana majibu.

Ila wanavyojitutumua....

NINGEPENDA SIKU MOJA TUKUTANE LIVE TUNYUKANE LIVE LABDA WENGINE TUTAELEWANA .😂😂
 
Africa kihistoria walikuwa na miungu yao na style zao za kuabidu kabla ya ukoloni ukristo na uislam na dini nyingi zilizopo sasa zimeletwa na wakoloni
Hata hao wakoloni walikuwa na miungu yao na style zao za kuabudu kabla ya ukristo na uislamu ila waliziacha na uislamu na ukristo ukasambaa na wakaleta hadi huu.
 
Ila atheists watata sana maana wanatoa madai ya kwamba hakuna Mungu halafu wanakwambia hawatakiwi kuthibitisha madai yao kwa sababu wao wamesema hayupo.
 
Mbona umesahau kumalizia

Umesahau kusema kwamba hapo kale waafrica Tulikuwa na dini zetu lakini wakaja waarabu na wazungu na kututeletea dini zao hatimae tukajikuta tunaacha dini zetu na kufuata dini zao ,

Mkuu usifanye double standard
 
Ila atheists watata sana maana wanatoa madai ya kwamba hakuna Mungu halafu wanakwambia hawatakiwi kuthibitisha madai yao kwa sababu wao wamesema hayupo.
Sasa kitu ambacho hakipo una kithibitisha vipi kuwa hakipo

Mfano hapo ulipo endapo nikikuambia kuwa naomba unipe kikombe halafu ukatafuta kikombe ukakuta hakipo nikikueleza unithibitishie kuwa kikombe hakipo utathibitisha vipi !? Na wakati hakipo ,

Yaani kitu ambacho hakipo unathibitisha vipi kutokuwepo kwake !?
 
Mussa alikuwa Ni tapeli wa kisiasa kamchafua Sana pharao Ramisesse ili ionekane kuwa pharaoh Ni mtu mbaya kamuandika vibaya Sana nampaka Leo hii Kuna watu wengi ambao Ni mambumbumbu wanao amini kuwa pharaoh alikuwa Ni mtu mbaya ,mpaka Leo hii kuna mambumbumbu wanao amini mussa alipiga fimbo bahari na bahari ikaachana ,, mussa alikuwa mshenzi Sana dunia iendelee kumlaani huko alipo
 
yaani mungu licha ya uwezo mkubwa wote wa kufikiri alionao na kuyajua yaliyopita na yajayo eti anashindwa kutumia uwezo wake huo kujua Kama mtu atatenda mema au dhambi mwisho wa siku kaumba viumbe ili vimsaidie kukusanya DATA ZA BINAADAMU!?

AHHHHGGH KMMMK hii dunia ina laaana watu waongo Sana mamaee
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…