Emmanuel J. Buyamba
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,167
- 651
[/QUOTE]
Mathalani mimi pamoja na kunifikirisha still sijapata jibu la kama kuna mtengenezaji ama hayupo.
Kwangu ni ngumu kuanza kumtafuta mtengenezaji huyo kabla ya kupata jibu yupo au hayupo.
Maana hatuwezi kuwa tunafikia hitimisho la jambo kwa mafikirio tu.
Lakini iwapo wewe huwa unao huo uwezo basi tuwekee hapa hitimisho lako ña ushahidi wako and then tuanze kumsaka mhusika huyo.
Unaweza kufanya hivyo!?
Huwezi ukasonga hatua ya kumtafuta ni nani,kwa nini iwe hivi na si vile wakati bado hujawa na uhakika wa kwamba kuna aliyeyafanya hayo hata kama yatakufikirisha hivyo.Sijakwambia lazima awe nani wala nani ,hatua ya kwanza ni kufikirishwa na hayo hayo mambo ndipo tutaweza kujadili ni nani na si nani,kwanini iwe uhivi na si vile.