Kufuatana na Sayansi, hawa watu walio fariki/kufa kama c darwin wanaishia/wapo wapi? Au ndio umewafananisha na magari mazee? Naona evolution imegoma kufanya kazi. Where are these dead people? Hebu tumia sayansi kujibu hili swali.
Narudia tena.
Atheists hawaamini uzima wa milele.
Tunajua kwamba kila kitu kina mwanzo na mwisho.
Ni nyie watu wa deen mnaoamini uzima wa milele, Ironicly Yuko wapi Moses/Moshee/ Musa kama kuna uzima wa milele.
Yeye sindio mnasema alipewa amri kumi na huyo Popobawa wenu, Kwanini asiishi milele akazilinda amri alizopewa na bwana wake?
Jij bent nog een kind!!!