Faida sio kwa Mungu, faida ni kwangu kwaio lazima nifanye ibada, yeye kujua mimi nakwenda wapi hainisaidii chochote, kwa sababu siku ya hukumu ataniuliza, "ulifany ibada hata uende peponi?" Wewe utajibu nini?Ndio hujui ila si unajua kua mungu anajua hatma yako??
Sasa kwakua hujui nini hatma yako ukaamua kutosali je utakua umeenda tofauti na alivyoona mungu katika hatma yako???
Una funza kichwaniMpaka hapa tayari ushamuongelea
Kwa kumuongelea huko kunamfanya awepo?
Ndio nimekujulisha kuwa unajichosha kwasababu unafanya ibada ili Mungu wako akulipe , kumbe Mungu wako kabla ata ya kufanya hiyo ibada yenyewe malipo yako anayajua , unafanya ibada kama kukamilisha ratiba lakini uwezi badilisha matokeo ya Mungu wako aliyonayo , hivyo basi matokeo aliyonayo ndio kila kitu sio kuinama na kubinuka kwako huko ni kujichosha na kujitafutia sugu , kutokujua kwako akubadilishi analojua Mungu wako pumzika acha kujichoshaNgoja nikufamishe kujichosha ni vipi, labda huelewi.
Kwa mfano unajua kuwa nikienda bandarini saa 12 sitpata boti ya kwenda Zanzibar, halafu ukienda, itakuwa umejichosha tena ni ujinga.
Lakini kama hujui kuwa mda huo hamna boti na ukaenda, basi hujajichosha, utakuwa umejifunza.
Sasa ibada nnayoifanya ni kwa faida yangu mwenyewe, yeye majibu anayo lakini mimi majibu sina ya wapi ntaishia. Yeye ameonesha njia ya kufuata na majibu ya kutegemea ukipitia izo njia. Ukifuata njia anayotaka basi pepo ukienda utakavyo basi moto, sasa mimi sijui yeye anajua mimi naishia wapi kwaio ni kufanya ibada na kuomba niwe wa peponi.
Narudia tena. Bado hujathibitisha najichosha vipi ikiwa MIMI sijui mwisho wangu?
Anakuulizaje wakati majibu alikuwa nayo kabla ata ajakuumba ? huyo Mungu wako ni msahaulifu sana kumbeFaida sio kwa Mungu, faida ni kwangu kwaio lazima nifanye ibada, yeye kujua mimi nakwenda wapi hainisaidii chochote, kwa sababu siku ya hukumu ataniuliza, "ulifany ibada hata uende peponi?" Wewe utajibu nini?
Yeye kuyajua malipo yangu sio faida kwangu, kwa sababu bado mimi siyajui malipo yangu. Yeye ameshasema, Sali nitakulipa pepo, fanya wema nitakulipa pepo. Usisali nikulipe moto, tenda maovu nikulipe moto. Sasa mimi nataka anilipe pepo kwaio nasali.Ndio nimekujulisha kuwa unajichosha kwasababu unafanya ibada ili Mungu wako akulipe , kumbe Mungu wako kabla ata ya kufanya hiyo ibada yenyewe malipo yako anayajua , unafanya ibada kama kukamilisha ratiba lakini uwezi badilisha matokeo ya Mungu wako aliyonayo , hivyo basi matokeo aliyonayo ndio kila kitu sio kuinama na kubinuka kwako huko ni kujichosha na kujitafutia sugu , kutokujua kwako akubadilishi analojua Mungu wako pumzika acha kujichosha
sio kwamba ni msahaulifu, ni kwa sababu nitamuuliza kwanini hanipeleki peponi? sasa akiniuliza ivo kama wewe utamjibu vipi?Anakuulizaje wakati majibu alikuwa nayo kabla ata ajakuumba ? huyo Mungu wako ni msahaulifu sana kumbe
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wakoMungu hana uwezo wa kufanya watu waishi bila kuumwa??
Hao wenye afya njema hawajawahi kuumwa na je hawataukuja kuumwa?
Faida sio kwa Mungu, faida ni kwangu kwaio lazima nifanye ibada, yeye kujua mimi nakwenda wapi hainisaidii chochote, kwa sababu siku ya hukumu ataniuliza, "ulifany ibada hata uende peponi?" Wewe utajibu nini?
Bwana wanani???Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako
Swali lako linajibiwa na swali tena kiuwepesi sana.Kwanza maswali yangu hujayajibu kikamilifu sijauliza nani anapata faida kati yako we na mungu
Nimekuuliza: wewe unajua kua mungu anajua kila kitu mwanzo hadi mwisho wa maisha yako kwa maana hakuna kitu kitachotokea kwa bahati mbaya katika maisha yako. Je ikitokea leo umeacha kusali utakua umebadilisha chochote katika maono yake??
Hujajibu swaliUna funza kichwani
Swali lako linajibiwa na swali tena kiuwepesi sana.
Utajuaje kama maono yake yamebadilika baada ya kuacha kusali ikiwa hujui mwanzo maono yake ni yapi? Nasubiri jibu
Kwani alishauriwa na nani asikuumbe wewe mchina ? ni mambo ambayo Ameamua mwenyewe kuyafanya kwa akili yake inavyopenda kuwa chilubi nitamtoa mwanaume kisha atakwenda motoni ovasio kwamba ni msahaulifu, ni kwa sababu nitamuuliza kwanini hanipeleki peponi? sasa akiniuliza ivo kama wewe utamjibu vipi?
Naona tayari umeanza kujishtukia kama nnakokupeleka utavurugika.Kwani mungu wenu anasifa ya imperfection kwamba anaweza kuona kitu halafu kikaja kutokea tofauti kama alivyoona mwanzo??
Kutokujua kwako akubadilishi alilopanga juu yako kipi uelewi !!! unachofanya wewe ni kujichosha kwasababu tayari ameshamua na hakuna wakubadilisha ata ukiswali bila kula , hii ndio tafasiri ya kusukuma ukuta na kujitoa jasho bureeeYeye kuyajua malipo yangu sio faida kwangu, kwa sababu bado mimi siyajui malipo yangu. Yeye ameshasema, Sali nitakulipa pepo, fanya wema nitakulipa pepo. Usisali nikulipe moto, tenda maovu nikulipe moto. Sasa mimi nataka anilipe pepo kwaio nasali.
Ingelikuwa mimi najua kabisa kama ni wa motoni halafu nasali basi ndio ningekuwa najichosha. Lakini sijui naishia wapi tena vipi niwe najichosha?
Tayari safari imeanza kukushinda. mi nilikuomba uwe unanijibu ila tayari unaanza kusepa.Kwani alishauriwa na nani asikuumbe wewe mchina ? ni mambo ambayo Ameamua mwenyewe kuyafanya kwa akili yake inavyopenda kuwa chilubi nitamtoa mwanaume kisha atakwenda motoni ova
Kutokujua kwangu hakubadilishi alilolipanga Mungu. Lakini vile vile kutojua kuwa kwangu ndio sababu ya mimi kufanya ibada kuomba kuwa alilolipanga ni jema. Kutokujua kwangu alilopanga Mungu kunanifanya nisijue kama amebadilisha maono. Sijui kitu gani huelewi.Kutokujua kwako akubadilishi alilopanga juu yako kipi uelewi !!! unachofanya wewe ni kujichosha kwasababu tayari ameshamua na hakuna wakubadilisha ata ukiswali bila kula , hii ndio tafasiri ya kusukuma ukuta na kujitoa jasho bureee
hapa utakimbia wewe kijana , Mungu wako anajuaje toka mtu akiwa tumboni kwa mama yake kuwa huyu wa motoni au peponi amejuaje wakati ata mtu kuzaliwa bado ?Tayari safari imeanza kukushinda. mi nilikuomba uwe unanijibu ila tayari unaanza kusepa.
Hakuna mahali ambapo panasema kuwa Mungu ameamuwa fulani aende motoni (kabla ya siku yake ya hukumu). Bali tunasema kuwa ANAJUA wewe utaishia wapi.
Umeshakubali kuwa kutokujua kwako akubadilishi kitu kabisa , sasa unachofanya ndio kujichosha sasa , kama vile ambavyo ukuta ausogei ndivyo ibada zako aziwezi badili chochote katika kile Mungu alichokupangia kabla ujaanza izo ibada zako rahisi kabisaaaKutokujua kwangu hakubadilishi alilolipanga Mungu. Lakini vile vile kutojua kuwa kwangu ndio sababu ya mimi kufanya ibada kuomba kuwa alilolipanga ni jema. Kutokujua kwangu alilopanga Mungu kunanifanya nisijue kama amebadilisha maono. Sijui kitu gani huelewi.
Ukuta unajua kama hausogei, ukiusukuma itakuwa unajichosha, ila gari unaamini kuwa inaweza kusukumika, basi ukiisukuma hujichoshi, unafanya kitu ambacho kinawezekana.
Mungu anayajua hayo kwa sababu yeye ndio muumbaji, mwenye ujuzi wote na mwenye kuyajua yaliyoficha ndani ya nafsi za viumbe.hapa utakimbia wewe kijana , Mungu wako anajuaje toka mtu akiwa tumboni kwa mama yake kuwa huyu wa motoni au peponi amejuaje wakati ata mtu kuzaliwa bado ?