mfano hapa.mimi si kiranga ila umenijibu kwa sababu nimeuliza swali.lakini jibu hili si sahihi.Unapouliza maswali kama haya, basi ukubali majibu ya mtu kwa mujibu wa yule Mungu amjuae yeye na sio kulazimisha kwa mungu umtakae wewe. Wakina Kiranga hawajui jinsi gani ya kuhoji uwepo wa Mungu, na wao huwa tayari kichwani mwao wanafikra zao juu ya Mungu yupi wanafikiri kila mtu anamuamini.
Mfano, ukitaka kujadiliana na mimi suala la uwepo wa Mungu basi ujue mimi Namuamini Allah, sasa ili upinge uwepo wake, basi tumia imani yangu ya Allah kuuliza swali. Mfano ukija ukanihoji uwepo wa Mungu ikiwa reference yako ni ng'ombe basi ntakwambia kawaulize wanaomuabudu huyo ng'ombe.
Sasa swali kama hilo ulilouliza;
- Mungu wangu hajaamua kujificha. kujificha ni kitendo cha kutaka usionekane na yoyote.
Mimi naomba kitu kimoja kwako, nacho ni kwamba na wewe uwe unajibu maswali kama vile nlivokuwa nayajibu yako. kama huwezi kujibu useme kabisa. Mana nishawazoea. Mkiulizwa mnakimbia.Unajichosha kuswali ili iweje kumbe majibu Mungu wako anayo ?kumbe Mungu wako ndio anaamua wa motoni au wa peponi wala sio matendo yako
Unajichosha ndio unamswalia Mungu ambaye anajua wazi kuwa wewe mswaliji ni wa motoni , huku ni kupoteza mudaMimi naomba kitu kimoja kwako, nacho ni kwamba na wewe uwe unajibu maswali kama vile nlivokuwa nayajibu yako. kama huwezi kujibu useme kabisa. Mana nishawazoea. Mkiulizwa mnakimbia.
Mungu anajua mwisho wangu ni upi na wapi, lakini mimi mwanadamu alieniumba sijui mwisho wangu ni wapi, sasa kama sijui mwisho wangu ni upi, nikisali iweje useme najichosha na wakati mimi sijui? Naomba jibu.
Wewe kama ntakuwa sijakosea, utakuwa ni mkiristo. Sijakujibu kwa sababu umeuliza swali, nimekujibu kisahih kabisa.mfano hapa.mimi si kiranga ila umenijibu kwa sababu nimeuliza swali.lakini jibu hili si sahihi.
maana si wewe au mkristo anayejua ni kwanini Mungi hajawahi kuonekana kwa macho.
Kwakua Spiderman anaongelewa hiyo inamaanisha kua yupo kihalisia??Uhalisia ni kuwa kama Mungu asingekuwepo wala hata asingeongelewa, kuna vitu vingi sana huwa vinaibuka lakn vinapita Ila Mungu anadumu kuongelewa, asilimia 90 ya watu wanaamini uwepo wa Mungu changamoto ipo kwenye kumtumaini na hiyo ni burden ya mtu mmoja mmoja sasa,....jina La Mungu ndo linalomiliki Mali nyingi zaidi Duniani, kupitia Mungu ndo mtu maarufu zaidi Duniani anapatikana...Mtu asiyekubali uwepo wa Mungu Kwa sasa atakuja akubali tu kwenye angle nyingine, Kwa sasa anakula na kushiba ko ni halali kupinga
Bado hujajibu swali. Mimi sijui kama naingia peponi wala motoni, ndio maana nafanya ibada. Sasa kama sijui mwisho wangu, najichosha vipi? mtu unajichosha ukiwa unajijua.Unajichosha ndio unamswalia Mungu ambaye anajua wazi kuwa wewe mswaliji ni wa motoni , huku ni kupoteza muda
Unamfanyia ibada nani ? unaemfanyia ibada anamajibu yake kabla ya wewe ujaanza kufanya ibada ndio nikakwambia wewe unajichosha maana unaangaika na kitu ambacho tayari majibu yapo , yaani ww ufanye au usifanye tayari majibu yapo wacha kujichoshaBado hujajibu swali. Mimi sijui kama naingia peponi wala motoni, ndio maana nafanya ibada. Sasa kama sijui mwisho wangu, najichosha vipi? mtu unajichosha ukiwa unajijua.
Tumeshuhudia ndoa nyingi za mashoga zikifungishwa makanisani, na pia kama ulisikia mwaka jana raisi wa ufilipino aliwapa ushauri mapadre watafute mabwana wa kuwaoa maana wengi wanajihusisha na ushoga.asilimia 96 ya athest ni mashoga sasa sijui kiranga yupo group gani?
tafsiri yake kwa kina.Wewe kama ntakuwa sijakosea, utakuwa ni mkiristo. Sijakujibu kwa sababu umeuliza swali, nimekujibu kisahih kabisa.
Sasa ngoja nikwambie kwanini Mungu hajajificha na ni kwamba hatuna uwezo wa kumuona;
Quran 6:103 Allaha anatwambia ivi : 103. "Macho hayamfikilii bali Yeye anayafikilia macho. Naye ni Mjuzi, Mwenye khabari " na ndio hatumuoni.
Ngoja nikufamishe kujichosha ni vipi, labda huelewi.Unamfanyia ibada nani ? unaemfanyia ibada anamjibu yake kabla ya wewe ujaanza kufanya ibada ndio nikakwambia wewe unajichosha maana unaangaika na kitu ambacho tayari majibu yapo , yaani ww ufanye au usifanye tayari majibu yapo wacha kujichosha
Mauti yanayoongelewa si ya damu na nyama ni ya roho ( kuukosa uzima was milele), na mambo ya rohoni wanayoyajua ni watu wa rohoniMshahara wa dhambi ni mauti ni mtoto mdogo kazaliwa na kufa kapata mshahara wake kwa dhambi ipi aliyoifanya....?
Hivi pale edeni simba nae alikula tunda maana naye anakufa wakati aliykula tunda na mwanadam
Aaah kwanza inachosha vingine ni uchwara tu
Mungu hakunaga kitu kama hicho popote pale
Kwan mi nimemuongelea Spiderman , ?Kwakua Spiderman anaongelewa hiyo inamaanisha kua yupo kihalisia??
We unaonekana hata hujui maana ya fictional character
Kwanini wengine wapo majumbani wakiwa na afya njema ?kama Mungu yupo, kwa nini kuna watu wanateseka na maradhi mahospitalini? hao walimkosea nini Mungu?
Ndio hujui ila si unajua kua mungu anajua hatma yako??Bado hujajibu swali. Mimi sijui kama naingia peponi wala motoni, ndio maana nafanya ibada. Sasa kama sijui mwisho wangu, najichosha vipi? mtu unajichosha ukiwa unajijua.
Binaadamu hatuna uwezo wa Kumuona Mungu.tafsiri yake kwa kina.
Maswali yake yanajibika ila yeye hataki kukubali majibu, halafu kumwelewesha mtu wa mwilini mambo ya rohoni sio rahisi kukuelewanapenda sana msimamo wa kiranga.
maana maswali yake hayajibiki na binaadamu waamini.ila kama siku moja Mungu ninayemuamini ataamua kumjibu,atakuja kujieleza mwenyewe.
huwa nashangaa wanaopoteza muda kujaribu kumuelewesha.ni kama mtu mwenye uono hafifu umwambie hii ni rangi ya njano,wakati yeye anaona pink nk.
Mpaka hapa tayari ushamuongeleaKwan mi nimemuongelea Spiderman , ?
Mungu hana uwezo wa kufanya watu waishi bila kuumwa??Kwanini wengine wapo majumbani wakiwa na afya njema ?
Mungu hajajificha, Mungu yupo kila wakati na anaonekana ila si katika ulimwengu wa nyama(mwili)mfano mkuu ukiulizwa kwanini Mungu ameamua kujificha kabisa!!!hakuna ambaye amewahi kumuona.
utajibu kwa sababu ni swali,au utajibu jibu sahihi??