Atheist wa kweli kabisa hajui hata MUNGU ni kitu gani wala hatambui kabisa uwepo wake si kwa kujifanya la hasa bali anamaanisha... Hawa tunaobishana nao humu ni atheists chotara ama atheists makinikia waliozaliwa wakapata kipaimara wakabatizwa nk kisha wakaja kukengeuka imani