Athari za punyeto: Wife kasafiri, sasa ni wakati wangu wa kujitibia nguvu za kiume

Kijana kijana

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
2,546
2,616
Nilitoa uzi siku zilizopita kuhusu uume kulala wakati wa shughuli yangu ya kiutu uzima kwamba uume unalala katikati ya tendo.

Ni kwamba nikiwa nafanya maandalizi ya kumuandaa mwenza huwa uume hausimami kabisa lakini akiwa tayari naushika na kuuchezea kama sec 30 hiv then ukisimama ukishazama haulali mpaka nimalize.ila kuendelea na round ya pili ndiyo shughuli.

Sasa shida ni kuwa wife akiona wakati namchezea haijasimama huwa anakataa nisipeleke dudu kwa kuwa anaona bado kumbe mwenyewe najua nmna ya kufanya.

Hili ni tatizo sio bure aisee mpaka uuchezee ndo usimame hapana.

Sasa kapata safari kama ya miezi mitatu hivi na mimi ni kijana myulivu sio mchepukaji(hata akili yangu haiwazi hivyo sio sababu sina uwezo).

Nilimtafuta bwana fulani anipe dawa eti ni laki na nusu ili nipone alafu ukinunua hiyo dawa unatafuta na maziwa na vitu vingine vya kuchanganya,nikaona upuuzi tu huu wa kutafuniana pesa.

Sasa baada ya kupitia nyuzi mbali mbali nikaona nije na mkakati ufuatao.kama kuna mtu ana nyongeza aongeze wakuu ili mnisaidie kuhusiana na hili

1.Nitakuwa nakimbia kila asubuhi mpaka nitoke jasho,yaani dk 30 zinanitosha kwa mazoezi kwa sababu nina uzoefu na mbio hivyo zitakuwa ni za spidi ya wastani sio ya kivivu.

2.baada ya hapo nitapata ndizi mbili na karanga na tende ujazo wa kama viganja viwili.

3.nitapata chai ya kawaida kama chapati au maandazi.

4.mchana mlo wa kawaida huku nazingatia maji mengi.

5.usiku ni matunda tu kama vile
A.tikiti maji
B.parachichi
C.tango
D.papai

Na nitaongeza na pushapu 20 tu kwa ajili ya kutafuta sababu ya kuoga maji.

Hiyo pesa ambayo ilikuwa nitafute dawa nitaitumia kwa ajili ya kununua matunda madogo madogo huku nnikiendelea kujiuguza.

5.nitapiga kegel exercise kwa siku mara tatu.

Asubuhi trip 1 ambayo itajumuisha kubana na kuachia msuli mara 20 na kila mara moja nitabana kwa sekunde 10kadhalika mchana na jioni hivyo hivyo)

6.nitatumia tape recorder method kwa ajili ya kuidanganya subconscious mind yangu iamini kwamba nina nguvu za kiume na sina tatizo nio fiti
( nadhani namba sita hii Bilionea Asigwa atakuwa anaifahamu vizuri sana )

7.sijihusishi na punyeto na wala sijihusishi na picha za ngono kutizama at all.
Tokea nilipokaribia kuoa nikaachana na hayo yote mpaka saiv nimeoa kitambo sijawahi fanya huu upuuzi na nadhani haya ninayoyapata ni kutokana na hayo namba 7 japo sikuona kama imeniathiri.

Kwa ufupi huo ndo mkakati wangu niliouweka kuhakikisha nafikia lengo la kurudi kuwa mwanaume ninayejikubali.

Naoamba kama kuna maelezo ya ziada muniongeze ili nianikishe na kama wewe ni muhanga kama mimi fuata maelekezo tu.

Nawatakia siku njema
 
Mkuu unaweza kuacha hayo yote ukafanya hili moja tu; Kwa hiyo miezi.mitatu,, HAKIKISHA KITUNGUU SAUMU(Garlic) hakipungui ndani. Then, kila jioni tafuna punje tatu hadi tano (unapotaka kulala), Rudia zoezi hilo asubuhi tena.

Waweza changanya na asali mbichi kijiko kimoja.

Mungu akubariki.
 
Sawa mkuu ngoja nikatafute vitunguu saumu kesho
 
Mkuu hongera kwa kujitoa kuna dawa moja haijawai semwa ni ya nguvu za kiume mimi niliwahi itumia kwa ajili ya kuondoa kitambi lakini ilileta matokeo mazuri chini

Tengeza juice ya majani yanayoitwa kotmir changanya kitunguu swaum na tangawizi kisha kunywa glasi moja kila siku muda mfupi kabla ya kulala
Nb waweza tia asali kwa glass yako kupunguza ukakasi
 
Mkuu unaweza kuacha hayo yote ukafanya hili moja tu; Kwa hiyo miezi.mitatu,, HAKIKISHA KITUNGUU SAUMU(Garlic) hakipungui ndani. Then, kila jioni tafuna punje tatu hadi tano (unapotaka kulala), Rudia zoezi hilo asubuhi tena.

Waweza changanya na asali mbichi kijiko kimoja.

Mungu akubariki.
Hayo aliyoandika ndo dawa tosha.hiyo vitunguu asali ni ashki tu na kwa watu wavivu,muhim tiz,maji meng,zingatia mlo+matunda utaleta mrejesho.Hakun mchawi zaid ya hivyo.
 
Sawa mkuu ngoja nikatafute vitunguu saumu kesho
Mkuu hiyo njia siyo nzuri kabsa tena ukichanganya na asali ni sawa kabsa umetumia Viagra. So ukizoea hiyo pia n tatzo mbeleni.

Tumia zaidi tikiti maji na mazoezi kidogo, juice ya tende na karanga plus mihogo mibichi ukiweza
 
Nikuongezee 2.
1.vitunguu swaumu punje 3+ asali kijiko kimoja hii utatumia asubuhi kabla ya kula chochote na usile muda huohuo,jioni waweza mezea Maji ya vuguvugu

2.Unapokojoa bana mkojo uwezavyo yaani unakojoa unabana unakojoa unabana hivyo hivyo mpaka umalize ,siyo kwa mikono au kutumia chachote ni kwa misuli yako tu,mwanzo huwa mgumi ila ukizoea ni simple.

3.limao kijiko + asali kijiko kimoja unavikoroga vinachanganyika vizuri .kutwa Mara 2.

4Waweza tumia tangawizi+ kitunguu swaumu +asali ukavisaga kwenye brenda kutwa Mara 3.

Nb:Mazoezi + Maji + matunda.
 
Back
Top Bottom