Athari za Mabomu yaliyolipuka Mbagala katika Picha

NO, NO, NO! Nimekosea heading waheshimiwa. ni picha za huko GONGO LA MBOTO.
 
Eti amekosea badala ya Gongo la Mboto kaandika Mbagala. Kila kitu negative utasikia Mbagala. Jamani Mbagala wanaishi watu. Ukisikiliza Radio Clouds, ni kuponda Mbagala kwa kwenda mbele. Lakini wafuatilie hao wote wanatoka wapi. Mmmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…