Athari za kuwa bikira

Unamaanisha ya <<<< au ya >>>>? Asibane sana italiwa na nyenyere ila kweli kabisa ni hasara kuwa na bk mbili (kama Zipo hai zote) kwa umri huo!! At least auwe moja

Tumia plain meaning ya bikira tu.
 

Nimeipenda hii...faida nyingine pleaseeee:smile-big:
 
Wanawake wengi (sio wote) huwa wanapenda wenzao wawe kama wao. Kama wao ni watulivu halafu mwenzao sio mtulivu watamshawishi atulie. Kama wao ni malaya na mwenzao sio malaya wamtamshawishi naye awe malaya. Kama wao sio mabikra na mwenzao ni bikra watamshawishi atolewe hiyo bikra na mara nyingine huwapa habari wanaume ili wamshawishi wamtoe bikra.
Kwa kifupi wanawake wanapenda wenzao wafanane nao ndio wawakubali katika kundi la watu fulani ambalo wao wapo humo.
 
Mwanamke kuwa na bikra ni ishara njema kwake kuwa anamaadili mema si rahisi msichana aidhibiti bikra halafu awe na tabia chafu ni ngumu sana
 
hamna atahri zozote, ukisema ataumia sana kwenye kufanya mapenzi in maana zile muscles huwa zinakomaa??? naomba majibu.
 
Mama teli hawa vijana wa digitali sasa wanazidi kuvunja rekodi za dunia
 
mtu mwenye exposure ya mapenzi anatesekaje zaidi ya mwenye bikra? sijaelewa hapo. alafu kwani mtu akifika age hiyo hajaolewa maana yake ni bikra?
watu waliotobolewa zamaniii utawajua tu. hadi amesahau bikra hajui ipoje manake walishaibemenda hata kabla akili haijamkaa vizuri. waache waliokuwa wamejitunza wajadili kama hauelewi.
 
Fact,,
 
Naamini akiwa bikira na kuolewa katika umri mkubwa atakuwa na bahati ya kutokuwa na memory ya kufanya tendo la ndoa na mtu mwingine zaidi ya mumewe.Lakini atakuwa na uhakika wa kutokuwa na maambukizi ya magonjwa ya zinaa.Lakini pia mumewe atakuwa na imani naye kuliko kama asingelikuwa bikira.Kuwa bikira isichukuliwe kuwa ni ushamba bali ni neema kutoka kwa Mungu
 
Vipi kuhusu watawa(masister) wa kanisa la mitume. Wengine wana miaka 50 bado ni bikra
 
me nais hiz ni imani tu.. coz hata sisi wakat wa tohara nakumbka tulikuwa tunaambiwa et ukipona hakikisha unapata demu wa kutolea uchafu et ndo sasa utakuwa mwanaume kamili, ktu ambacho sikiamini mpaka leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…